Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]muhimbili daktari anakugusa paji la uso kupima joto si kuuana huku khaaaaa
Anasumbuliwa na Nini Hasa?Asante kwa taarifa,
Get well soon Mzee wetu Edward Lowassa.
P
Wewe sema kwani nimeshajiandaa kisaikolojiaKuna kajambo nakahisi ila sikasemi..maana hio roho nzito unaeza kuropoka kitu ukajilita unatangulia
Hata ikiboreshwa vipi itabaki kuwa yetu sisi wengine.Muhimbili iboreshwe hii ya viongozi kutibiwa nje haijakaa sawa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huyu anayejiita mtoto wa mujini alaaniwe na watu wote walio wemaMAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini.
Akizungumza na wanafamilia kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salaam za pole kutoka kwa Mheshimiwa Rais na kusema Mheshimiwa Rais anafuatilia hali ya Mheshimiwa Lowassa kwa ukaribu na anamuombea afya njema.
Waziri Mkuu ametoa salamu hizo leo (Jumatano, Desemba 28, 2022) jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambako alienda kumjulia hali Mheshimiwa Lowassa.
Kwa upande wake, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa jinsi ambavyo amekuwa karibu na wanafamilia na namna ambavyo anafuatilia matibabu ya mpendwa wao.
Naye mtoto mkubwa wa Mheshimiwa Lowassa na Mbunge wa Monduli, Bw. Fredrick Lowassa amewashukuru Watanzania kwa maombi yao ya kumtakia afya njema baba yao.
View attachment 2461149
JiuweBaba alikua waziri mkuu first born ni mbunge, hao ndo wamenjoy matunda ya nchi hi, sisi wengine tunaishi tu ili mradi.
Mmh Israel yuko beneti ile mbayaA sound from within inasemaje?
Hata watoto wa wavuvi huwa wavuvi na watoto wa askari huwa askariBaba alikua waziri mkuu first born ni mbunge, hao ndo wamenjoy matunda ya nchi hi, sisi wengine tunaishi tu ili mradi.
Nani huyo anaongea na Mh wimawima kama vile ana harakaMAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini.
Akizungumza na wanafamilia kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salaam za pole kutoka kwa Mheshimiwa Rais na kusema Mheshimiwa Rais anafuatilia hali ya Mheshimiwa Lowassa kwa ukaribu na anamuombea afya njema.
Waziri Mkuu ametoa salamu hizo leo (Jumatano, Desemba 28, 2022) jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambako alienda kumjulia hali Mheshimiwa Lowassa.
Kwa upande wake, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa jinsi ambavyo amekuwa karibu na wanafamilia na namna ambavyo anafuatilia matibabu ya mpendwa wao.
Naye mtoto mkubwa wa Mheshimiwa Lowassa na Mbunge wa Monduli, Bw. Fredrick Lowassa amewashukuru Watanzania kwa maombi yao ya kumtakia afya njema baba yao.
View attachment 2461149
Kama ngedere tusiojua kesho tutavamia shamba la naniBaba alikua waziri mkuu first born ni mbunge, hao ndo wamenjoy matunda ya nchi hi, sisi wengine tunaishi tu ili mradi.
A sound from within inasemaje?
Usisahau Nairobi piaMzena, Germany, SA yaani kila mmoja alikuwa anamtibu anakojua yeye
Tugange yajayoRais wetu mpendwa walishindwa kumpeleka South Africa jamani?
Katibu Mkuu kiongozi Dr Bashiru Ally Karurwa ulishindwa nini wakati ule?
We ni mbuzi, sasa ni jiue kwa lipi?Jiuwe
Kwaio iboreshwe kwajili ya viongozi? Raia hamna haki ya kuboreshewa ?Muhimbili iboreshwe hii ya viongozi kutibiwa nje haijakaa sawa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nchi hii ukiona kituko Mashariki basi geuka Magharibi haraka utaona tunavyopigwaKwa nini unasema amemuwakilisha?! Kwamba ni lazima waziri mkuu mstaafu ajuliwe hali na Rais
Hapakuwa na sabau nyingine yoyote juu ya safari, bali kwenda kujulia hali ya mgonjwa?Muhimbili iboreshwe hii ya viongozi kutibiwa nje haijakaa sawa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tabaka la watu wa aina hiyo ndilo linalotamba enzi hiziKwa nini unasema amemuwakilisha?! Kwamba ni lazima waziri mkuu mstaafu ajuliwe hali na Rais?