Mi 5 tena kwakeWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Kwani Kuna sheria gani atakuwa amevunja?Hawezi kua mbunge wa kawaida tu
Ateuliwe tena ili iweje? We huoni mpaka paliundwa Ofisi ndani ya Ofisi yake? Ile kuletwa Naibu Waziri Mkuu ilipaswa kuwa Red flag tosha kuwa hawamtaki.Wewe umejuaje ? Yawezekana kaahidiwa na mama kuwa atateuliwa tena.
Ni mdogo wake, au mtoto wake?Kashindwa kumweka mwanae au ndugu wa karibu? Mizengo pinda kamuweka mdogo wake na sasa Naibu Waziri
Wagombea wengine wajiandae kutekwa.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Typical of African leaders kudhanj kuwa somehow nafasi ya uongozi ni yako milele. What a shame!Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
mama gani? kuna mwizi kuliko huyo mama? hivi watu mmelewa mnapokuja humu au? samiya anaweza kumuwajibisha mtu kwa wizi? yeye mwenyewe mwizi mkubwa na huyo fisadi Kiwete asiyetaka kustaafuAliiba hela yeye na Ummy. Mama akataka kumpiga benchi ila Kikwete akaingilia akasema italeta taswira mbaya hivyo bora aje naibu waziri mkuu ambae atamuachia majukumu yake yaliyo mengi ayafanye yeye. Kwaio saiv majukumu mengi ya kifedha ya Majaliwa kapewa Dotto
Kutumikia wananchi sii suala la cheo,Dah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
Nikupe tuu taarifa.Aliiba hela yeye na Ummy. Mama akataka kumpiga benchi ila Kikwete akaingilia akasema italeta taswira mbaya hivyo bora aje naibu waziri mkuu ambae atamuachia majukumu yake yaliyo mengi ayafanye yeye. Kwaio saiv majukumu mengi ya kifedha ya Majaliwa kapewa Dotto
StatusKwani Kuna sheria gani atakuwa amevunja?
Nahisi hadi kwa Mungu zinatumikq.Huyo amesahau nini Bungeni. Waziri Mkuu mzima unaenda kukaa back bencher.
Yule akistaafu hela anayokula kwa mwezi ni ndefu mno, tamaa imemzidi huyu jamaa.Kazi ya bunge ndio top job Kwa Tanzania unataka akafanye Kazi Gani Sasa Kwa umri wake!!! Astaafu harafu awe benchi asubilie nafasi za kuhurumiwa!!
Kwa CCM hakuna kinachoshindikanaHuyu naye amekuwa mlafi.
Cheo alichofikia hakupaswa kurudi bungeni kupiga makofi.
Kwa hskika hawezi kuwa Waziri mkuu tena