Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Installation ya umeme imegahrimu 650000,??? Hapo ni main switch moja, socket moja , taa mbili at most na switch 1 ya two gang,
Kwa kweli hiyo hela iliyowekw kwa ajili ya umeme ni ndogo sana.
Halafu watu wanasema hela imepigwa!!
Sijui wanafikiria hela ya vibatari wanavyotumia makwao au?
 
fisadi huyo.

banda lenyewe likizidi sana ni milioni Tano tu



Hawa ndo wale misumali ya elf tatu wanaisafirisha Kwa elfu kumi.

wezi tuna wasiojali
 
Mnaompinga toeni mchanganuo na nyie,hoja hujibiwa na hoja,mlango wa mninga sio wa mpapai
Wengi wanapenda vya bure na chee.
Halafu wiki moja tu shule iliyojengwa kwa Fosi Akaunti ina matobo sakafuni kama imeliwa na mchwa.
Viwango hakuna.
 
VALUE FOR MONEY ni msemo wa wanasiasa wasiojua wanataka nini.
Mara nyingi wanamshambulia mkandarasi huku hawajui kuwa bei zilisha kuwa set kwenye Tender tayari.
Ofisi ya waziri mkuu iwe inapitia Tender zote kuiona hiyo value for money, na si kwenda kufanya siasa wakati mradi tayari umetake off, wasimaizi wapo(consultants) na Idara ya serikali inayohusika nayo ipo.
Hao wasimamizi kazi yao nini?
 
Nyie kizazi cha nyoka.
Hivi ulishamwona mkandarasi anavunja benki ya Idara inayo jengwa.
Na huyo mjenzi sili alipewa Tender na kushinda?
Na serikali ilikuwa wapi wakati tenda zina tolewa.
Tunashituka wakati ujenzi umekamilika, badala ya kuweka systems za kudhibiti gharama tunazoziona!
Ndiyo maana wazungu wanasema ukimuwekea mwafrika kitu kwenye daftari, yeye hana uwezo wa ****, maneno tu ya mdomoni ndo anaysikia.

Utaratibu ni kwamaba hizo estimates nimekuwekea ni kwa ajili ya wewe kuzisoma na kuzirekebisha kwa viwango vyako.
Ukibadili mabati na ukaweka nyasi za kuezeka kwa ajili ya mlinzi wa eneo la serikali usubiri kujibu viwango hivyo bungeni, lakini ni nafuu sana.
 
Fisadi mkubwa wee! Kumbuka wanajenga kwa force account!
 
Hela umehonga malaya wa oxygen pub
 
Fisadi mkubwa wee! Kumbuka wanajenga kwa force account!
Makndarasi waliosajiliwa na serikali kwa hiyo ni mafisadi.
Kwa ujinga wenu hamuwaoni mafisadi wanaonunua ndege kwa pesa taslimu na wanaojenga SGR , wala wanaojenga JNHHP Stiglaz.
Pambaf enu.
 
Nyumba yako chumba kimoja cha jiko utatumia mil.13?

Au unafunika kombe mwanaharamu apite
 

Hayati Mwalimu Nyerere alisema watanzania tuna kaujinga fulani ka neno la kiswahili likitamkwa kwa kingeleza linaonekana lina maana sana na ndo nachokiona kwako unataka kuleta UENGLISHINISM ili watu waone umesema vitu vya maana sana na hauna msomi wa ivo wengi hua ndo vichwa panzi(Prof:Lumumba alishawahi kuongelea watu kama nyinyi)

Ivi alivowaachia hao TAKUKURU ni uchunguzi gani utafanyika bila hao washauri na makadirio unaowaita (CINSULTANT) ili kuatoa hukumu na haki kwa kamati au mkandarasi husika!!

Waziri anayo anayokazi kukagua na yakufungua miradi ya kiserikali na hawezi kufungua iyo miladi bila kukagua kama ghalama na kitu husika vinaendana ndo maana nikauliza ni sehemu zote anapoenda anaponda na kuwambia TAKUKURU wakamate watu? mbona sekta zingine amesifia miradi yao palepale!!!

Ujue icho kibanda hata ukitaka kijengwe kwa bilioni moja inawezekana kabisa na hoja zitakuwepo ila ni kwanini banda la mlizi lighalamikiwe kiasi icho iyo ndo hoja ya msingi nafikiri waziri angetakiwa kuhoji na sio unatetea tuu kisa vimaneno vyako vya kiingereza usizani unakijua pekeako chamsingi jibu kwa hoja na ufafanue utaeleweka tu vizuri.
 
Kwa kukosa akili watanzania hamjambo.
Umewekewa excel hapo ili uichambue na uweke gharama na viwango unavyovujua wewe.
Bado huelewi, si rahisi kukusaidi mtu uliyezoea kujenga kwa matifali 35 kwa mfuko mmoja wa cementi.
 
Makndarasi waliosajiliwa na serikali kwa hiyo ni mafisadi.
Kwa ujinga wenu hamuwaoni mafisadi wanaonunua ndege kwa pesa taslimu na wanaojenga SGR , wala wanaojenga JNHHP Stiglaz.
Pambaf enu.
Pumbavu kuwa mkandarasi aliyesajiliwa na serikali hakukuondolei wizi na ufisadi ulionao!
 
Kwenye hili nakuunga mkono. Gharama za ujenzi zinahojiwa wakati wa ku-plan na siyo baada ta ujenzi. BTW haya mambo ya kuhoji gharama mbele ya kamera wakati wa ziara ni ujinga wa hali ya juu. Watawala wetu wameshajua kuwa wananchi hupenda na kusifu hizi ''rubish'' za kuleta usanii mbele ya kamera hivyo wanatumia fursa vyema kujipatia sifa za bure. Mwanzilishi wa hili jambo ni Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi na baadae rais. Ni hivi: Bila mfumo mpya wa utawala ni bure. Tumewaambia na tutazidi kuwaambia japo hawasikii. Mahojiano ya kisanii ya aina hii tumeshayaona mengi na hayajaleta mabadiliko yoyote.
 
Pumbavu kuwa mkandarasi aliyesajiliwa na serikali hakukuondolei wizi na ufisadi ulionao!
Tanzania ina upigaji kila kona. Hakuna kwenye nafuu wala mwenye nafuu. Bila kubadili mfumo wetu ni kazi bure.
 
Installation ya umeme imegahrimu 650000,??? Hapo ni main switch moja, socket moja , taa mbili at most na switch 1 ya two gang,
Kibanda cha mlinzi hakiwekwi main switch!
 
Kwa hiyo wewe ni SGR au Stiglaz! Jizi usiye na haya usoni!
Msioenda shule nyie mijitu wajinga wajinga, mna shida sana.
Hiyi mmewekewa BOQ hapo mkaiweke ukutani, muisalimie kila mkiingia maofisini mwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…