Suleman Jr
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 341
- 525
Ukiskia wale mafundi au injinia akikujengea nyumba yako ikiisha na yake inaisha huko kwa gharama ileile ya nyumba 1 aliyokutoza ndio hawa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miradi ya serikali si ya kwako binafsi.Ingekua hela yako mkonon ungejenga yote hio kibanda? Maana ya kutumia force account ni nni? Lengo ni kubana matumiz.mbona katika hela hio umesahau kuweka supervision cost? Contingency cost nayo bei gan? Majenz ya hela za uviko zimetolewa na mh mama ziende zikaguse maisha ya watanzania
Ubora unakuwa determined na specifications mlizojiwekea. BBQ inasemaje? Kama ilifuatwa na gharama ikawa 11m, then it is OKNi kweli unaweza kujenga kibanda kama hicho hata kwa milion 100, ila kwanini ujenge kwa gharama kubwa wakati inawezekana kujenga kwa gharama ndogo na kwa ubora mzuri tu
Mkuu mbona vitu rahisi tunacgukulia kana kwamba hatujui maana ya kuandaa site plan kwa ujenzi wa taasisi Kama Chuo? Yaani unataka kibanda Cha mlinzi kijengwe katikati ya majengo kisa unapunguza gharama?Armoured cable kwenye kibanda cha mlinzi kuna item gani za maana zitatumika huko?
Mita 100 ni uwanja wa mpira , kwa nini ujenge kibanda umbali wote huo kutoka main panel?
Waziri mkuu kasahau kuwa gharama za ujenzi na vifaa vya ujenzi zimepanda juu, pia ni kama mheshimiwa hajawahi jenga nyumba au kibanda chochote kwa fedha zake labda anajengewa bure na Magereza au JKT SumaView attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es Salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
Mkuu nadhani wengi hapa wanapanga vyumba au nyumba, gharama za ujenzi zipo juu sana, kuna mambo mengi na gharama zingine ambazo hata upange na kukadiria vipi zinajitokeza na ingekuwa choo cha shimo sijui wangesemaje, hawa watu wasitoe sana mapovu mbona sisi hatulalamiki hayo mashangingi wanayonunua kwa bei za ajabu kutokana na TOZO zetu.Wengi hamjui namna gharama za ujenzi unavyojengwa ili kupata gharama halisi, yeye ameweka data mezani wengine wanaleta porojo.
Mtoa mada bado hujaweka system ya maji taka. Iwapo majitaka ya kutoka kwenye kibanda hadi eneo ambalo ni centralized wa ajili ya majengo yote, hivyo kibanda kinaweza kufikia gharama ya TZS 16,000,000.
Wengi mnapenda kuweka vitu kienyeji bila kufuata plan halafu baadae mnawalaumu tena wataalam. Waulize timu ya wanasema gharama ni juu Kama wanajua Bei ya PVC Pipe class C ya plasco ya nchi 4 ni kiasi gani.
Watu wanataka wajenge Chuo Cha VETA na kuweka mabomba ya class A yaje yapasuke ndani ya wiki mbili then waanze lawama...taasisi zetu hawafanyi ukarabati kwa muda hivyo lazima vitu vile genuine kwelikweli lakini pia plan ya eneo la ujenzi lazima ifuatwe ata kwa gharama ipi. Tuache lawama kwenye vitu vinavyohitaji utaalam.Mkuu nadhani wengi hapa wanapanga vyumba au nyumba, gharama za ujenzi zipo juu sana, kuna mambo mengi na gharama zingine ambazo hata upange na kukadiria vipi zinajitokeza, hawa watu wasitoe sana mapovu mbona sisi hatulalamiki hayo mashangingi wanayonunua kwa bei za ajabu kutokana na TOZO zetu.
labda kwa Dsm lakini kwa Tabora gharama zako za kuchimba msingi, mawe, udongo moram, mbao ziko chini mno ukilinganisha na DSM. matofali mangapi??? manake kwa Tabora msingi wote jiwe linamaliza kazi mpka ngazi, flemu ya dirisha Tbr haifiki hata nusu ya 150,000 tena mninga karanga tupu, Bati na kofia 2.47 M kweli ndio mana nchi hii haiendelelei.View attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es Salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
Amekiri wapi? Liliulizwa swali katika kadamnasi kuhusu bei ya hicho choo na mtu akasema 40000. Hamna mahali ambapo huyo unayemuita mjenzi amekiri chochote.Mjenzi amekili kuweka hicho Cha 40,000.
Cha 300,000 umekiweka wapi?
Kuijengea serikali siyo sawa na kumjengea baba mkwe.labda kwa Dsm lakini kwa Tabora gharama zako za kuchimba msingi, mawe, udongo moram, mbao ziko chini mno ukilinganisha na DSM. matofali mangapi??? manake kwa Tabora msingi wote jiwe linamaliza kazi mpka ngazi, flemu ya dirisha Tbr haifiki hata nusu ya 150,000 tena mninga karanga tupu, Bati na kofia 2.47 M kweli ndio mana nchi hii haiendelelei.
Ebu tupatie na hesabu kama kiband ahiki ni chako unamjengea baba mkwe wako wa Izimbili.
Hili ni la msingi sana.Wengi hamjui namna gharama za ujenzi unavyojengwa ili kupata gharama halisi, yeye ameweka data mezani wengine wanaleta porojo.
Mtoa mada bado hujaweka system ya maji taka. Iwapo majitaka ya kutoka kwenye kibanda hadi eneo ambalo ni centralized wa ajili ya majengo yote, hivyo kibanda kinaweza kufikia gharama ya TZS 16,000,000.
Wengi mnapenda kuweka vitu kienyeji bila kufuata plan halafu baadae mnawalaumu tena wataalam. Waulize timu ya wanasema gharama ni juu Kama wanajua Bei ya PVC Pipe class C ya plasco ya nchi 4 ni kiasi gani.
ndio tulinganishe sasa! wengi wetu tukisikia hizi namba tunalinganisha na hizi tunazojenga. Ila mbona kama ubora wa ujenzi binafsi kwa miaka hii 20 tuko juu kuliko huo mnaoongeza 0?!!Kuijengea serikali siyo sawa na kumjengea baba mkwe.
Serikali ina viwango vake.
Kwa vile unajuakujenga, tafuta tender , kakope benki ili uianze kazi, ajiri hao mafundi wako na uwapeleke Tabora.ndio tulinganishe sasa! wengi wetu tukisikia hizi namba tunalinganisha na hizi tunazojenga. Ila mbona kama ubora wa ujenzi binafsi kwa miaka hii 20 tuko juu kuliko huo mnaoongeza 0?!!
Wanajenga veta bwana mdogo, yaani mafundi na vibarua wanatoka ndaaani mbona hutaki kuacha kukalili uliyosoma shuleni??? Uyui hapa mawe ununui ni vpande vya kuni na kiberiti yanapasuka, mchanga uhitaji tipa. sie cement tu ndio inatupa shida. Acha kukalili kama wale wenzio waliofundishwa kulima tikitiKwa vile unajuakujenga, tafuta tender , kakope benki ili uianze kazi, ajiri hao mafundi wako na uwapeleke Tabora.
Ulete na vipimo vya viwango vilivyowekwa kwenye Tender.
Ulete na Tender Bonds za kazi.
Serikali itakushukuru sana kukukopa na ikulipe baada ya miezi 6.
Hii ni biashara huria karibu.