Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,745
Mkuu hapa Waziri Mkuu Majaliwa anataka cheap popularism at the expense of fani ya ujenzi, ambayo kiuhalisia haijui.
Haijui wapi? na vipi? kwaiyo unataka aweke mkaguzi na alipwe kwajili ya kukagua miradi ya serikali kati wizara zote ziko chini yake!!! Nayeye anakili pia na macho ndo maana kapongeza mirad mingine ilofanya vizuri na kaona upupu kwenye huo na kaponda.
Ndomaana ata MWENDAZAKE alikua anajua izo mbinu yani watu wanafuja ela et kujifanya UPROFENISM kwenye kila kitu kama kunakipindi watu wa Shilika la anga walitaka kuchukua ndege ya kubeba viongozi kwenda kuichora south africa et kuchora Twiga wanajifanya kuweka UPROFENISM mwiingi kufanya jambo lionekane zito na gumu wakataka kutumia tsh160 kuchora TWIGA kwenye ile ndege na Raisi wa kipindi kile alikataa na badala yake ilitumika tsh mil7 tu.
Pesa ya serikali inatumika ovyo kwakigezo cha usomi na hesabu za vitabu ila waziri katumia akili za kawaida kuchambua wala hakukuitaji mkandalasi apo kutambua huo upupu
Binafsi nishawai kutaka kujenga moja ya nyumba zangu kwakupitia mkandarasi alinipa bei ya msingi sikuamini masikio yangu mara hoo kuna maji marahoo soil thickness end etc ila nimejenga kwa mafundi wakaida wenye uzoefu wa kazi nyumba ikasimama saivi mwaka wa16 mvua na masika vinapita mpaka matetemeko yaliwahi kupita ila mambo poa ila izo zao za wakandarasi(gholofa) zikaporomoka ila yangu ikasimama ndo nikajua usomi mwiingi mwisho huzalisha ujinga kuna muda tumia akili za mzungu af changanya na zako vitu vinawezekana.