we mjinga sanaMakndarasi waliosajiliwa na serikali kwa hiyo ni mafisadi.
Kwa ujinga wenu hamuwaoni mafisadi wanaonunua ndege kwa pesa taslimu na wanaojenga SGR , wala wanaojenga JNHHP Stiglaz.
Pambaf enu.
Mjinga zaidi ni wewe unayepiga domo huku hujui kusoma na kuandika, achilia mbali kuweka mahesabu ya kujenga.we mjinga sana
Labda wanahisi tumepanga kwenye majumba yao 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee nimeshangaa, jamaa wanaonaga labda watu wengine hawajajenga sijui?
BOQ ya wizi nani atafutilia! BOQ ya banda la mlinzi inakuwa sawa na BOQ ya msingi wa ghorofa! Wewe ni zaidi ya fisadi na kama kuna mtu anakupa kazi basi huyo ni zaidi ya kilaza!Msioenda shule nyie mijitu wajinga wajinga, mna shida sana.
Hiyi mmewekewa BOQ hapo mkaiweke ukutani, muisalimie kila mkiingia maofisini mwenu.
Tatizo la viongozi huwa hawafanyi deep analysis kabla ya kuja kuzungumza mbele ya raia. Na majengo ya Serikali huwa Yana standard zake ukijenga below standard nako ni shidaNimekuwekea mahesabu hapo, kama una kichwa cha panzi na hukwenda shule,hilo si shauri langu.
Gharama hizo na mahesabu yako ni sahihi, lakini inatagemea upumbav ulionao! Ukiwa umefuzu kwa upumbav mahesabu hayo ni sahihi.View attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es Salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
UPDATE:
Katika makadirio wadau wamenitonya yafautayo
1. Hapo pembeni kuna kichumba ambacho waafikiri ni choo, gharama za kuvuta maji, choo chenyewe na wall tiles inaweza kuongeza gharama kwa arond 1.0 million
2.Kuna floor tiles amnazo sijazigsa kabisa, gharama ambayo tiles kwa nyuma nzima na ngazi inaweza kufikia 1.2million
Hivyo kazi hii ya nyongeza ni Tshs 2,2 million n jumla kuu kwa kazi ya kibanda=Tshs 15,845,980.00
OMBI
Ofisi ya Waziri Mkuu wakimaliza uchunguzi wao wa kitaalam , watuwekee hadharani makadirio yao kwa viwango vya kazi husika ya kibanda cha VETA Tabora(kwa kulinganisha tu)
Daaah, braza naona umechafukwa nyongo.Gharama hizo na mahesabu yako ni sahihi, lakini inatagemea upumbav ulionao! Ukiwa umefuzu kwa upumbav mahesabu hayo ni sahihi.
Nawe usiwe brainwashed! Standard za serikali ni zipi?Tatizo la viongozi huwa hawafanyi deep analysis kabla ya kuja kuzungumza mbele ya raia. Na majengo ya Serikali huwa Yana standard zake ukijenga below standard nako ni shida
Kubali tu kuwa we ni bongolala.BOQ ya wizi nani atafutilia! BOQ ya banda la mlinzi inakuwa sawa na BOQ ya msingi wa ghorofa! Wewe ni zaidi ya fisadi na kama kuna mtu anakupa kazi basi huyo ni zaidi ya kilaza!
Unaongea kama umtoka kutahiriwa.Gharama hizo na mahesabu yako ni sahihi, lakini inatagemea upumbav ulionao! Ukiwa umefuzu kwa upumbav mahesabu hayo ni sahihi.
Watu wa aina hii wanaendelea kuandika hapa kwa sababu ya uvumilivu wetu. Ktk netiquette tulistahili kuwaondoa watu wanaoleta hadithi za kijinga-jinga kama hizi. Nyumba gani ya serikali imejengwa kwa BQ za aina hii? Au ameangalia vitabu vya darasani. Ni hawa hawa wanadhalilisha taaluma zao mitaani.Daaah, braza naona umechafukwa nyongo.
Sijaenda shule za wizi! Serikali inajenga madarasa kwa milioni 20 sasa hicho kibanda cha choo kiwe milioni 11.Kubali tu kuwa we ni bongolala.
Unayeenda na upepo wa mdundiko lakini mukichwa hakuna kitu.
Kubishana na mtu asiyeenda shule huwa ni matstizo.
Unakaa kibanda ulichokandika kinyesi cha kwako na cha baba mkwe.Sijaenda shule za wizi! Serikali inajenga madarasa kwa milioni 20 sasa hicho kibanda cha choo kiwe milioni 11.
Huenda umehudhuria darasani lakini hukuelimika! Labda umesomea ujambazi!
Kwani hapo kuna hesabu? Au una maana gani? Kila unapoona nambari unasema kuna hesabu! Puppy-brain!Unaongea kama umtoka kutahiriwa.
Pitia hayo mahesabu na uweke gharama zako si uharo wako.
Nyie watu, mtu kaweka mahesabu yake na tunaysina.Kwani hapo kuna hesabu? Au una maana gani? Kila unapoona nambari unasema kuna hesabu! Puppy-brain!
Nyie ndiyo watu wa ku-copy na ku-paste, hujui nini cha ku-copy na wapi pa ku-copy! Mburula rudi shule kajielimishe!Unakaa kibanda ulichokandika kinyesi cha kwako na cha baba mkwe.
Haya mambo tuachie sisi.
Najua sasa hivi unaumwa na mbu kibandani.Nyie ndiyo watu wa ku-copy na ku-paste, hujui nini cha ku-copy na wapi pa ku-copy! Mburula rudi shule kajielimishe!
Unaanza kurukia nje ya mjadala huu. Ndege imetoka wapi tena? Stick to your gun!Makndarasi waliosajiliwa na serikali kwa hiyo ni mafisadi.
Kwa ujinga wenu hamuwaoni mafisadi wanaonunua ndege kwa pesa taslimu na wanaojenga SGR , wala wanaojenga JNHHP Stiglaz.
Pambaf enu.
Kwani hzmuoni?Unaanza kurukia nje ya mjadala huu. Ndege imetoka wapi tena? Stick to your gun!
Unasikia ikizungumzia force account wewe unaanza kutaja makandarasi