Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Mkuu hapa Waziri Mkuu Majaliwa anataka cheap popularism at the expense of fani ya ujenzi, ambayo kiuhalisia haijui.

Haijui wapi? na vipi? kwaiyo unataka aweke mkaguzi na alipwe kwajili ya kukagua miradi ya serikali kati wizara zote ziko chini yake!!! Nayeye anakili pia na macho ndo maana kapongeza mirad mingine ilofanya vizuri na kaona upupu kwenye huo na kaponda.

Ndomaana ata MWENDAZAKE alikua anajua izo mbinu yani watu wanafuja ela et kujifanya UPROFENISM kwenye kila kitu kama kunakipindi watu wa Shilika la anga walitaka kuchukua ndege ya kubeba viongozi kwenda kuichora south africa et kuchora Twiga wanajifanya kuweka UPROFENISM mwiingi kufanya jambo lionekane zito na gumu wakataka kutumia tsh160 kuchora TWIGA kwenye ile ndege na Raisi wa kipindi kile alikataa na badala yake ilitumika tsh mil7 tu.

Pesa ya serikali inatumika ovyo kwakigezo cha usomi na hesabu za vitabu ila waziri katumia akili za kawaida kuchambua wala hakukuitaji mkandalasi apo kutambua huo upupu

Binafsi nishawai kutaka kujenga moja ya nyumba zangu kwakupitia mkandarasi alinipa bei ya msingi sikuamini masikio yangu mara hoo kuna maji marahoo soil thickness end etc ila nimejenga kwa mafundi wakaida wenye uzoefu wa kazi nyumba ikasimama saivi mwaka wa16 mvua na masika vinapita mpaka matetemeko yaliwahi kupita ila mambo poa ila izo zao za wakandarasi(gholofa) zikaporomoka ila yangu ikasimama ndo nikajua usomi mwiingi mwisho huzalisha ujinga kuna muda tumia akili za mzungu af changanya na zako vitu vinawezekana.
 
Majaliwa kachemsha!
 
Kwanza thibitisha ya kuwa hapo kutahitajika wire wa mita 100. Wakati Kuna Kuna Existing Buildings. Kingine nani alisema hicho kibanda kitahitaji wire wa 2.5sqmm kama Supply Cable wakati niliandika ya kuwa kulingana na uwepo wa hayo manengo makubwa hicho kibanda kitahitaji "Tapping" ya Power to na Route Length take haizidi hizi mita 100.

Ndiyo maana nikakwambia kuwa makini acha kukurupuka.
 
Installation ya umeme imegahrimu 650000,??? Hapo ni main switch moja, socket moja , taa mbili at most na switch 1 ya two gang,
 
Mkuu ingekuwa ujenzi unaenda kwa gaharama kama hiz wengi tusingejenga
Hicho kibanda ni kama banda la kuku lililochangamka , hata mil 5 haiishi.
 
Hapo bado ujaweka Armoured cable ya kueleta umeme kwenye hicho kibanda. Chukulia ni mita 100 kutoka eneo ambayo main panel hipo.

Tukiona vitu vizuri ulaya tunadhani vinajengwa bure. Tuwe serious wadau.
Armoured cable kwenye kibanda cha mlinzi kuna item gani za maana zitatumika huko?
Mita 100 ni uwanja wa mpira , kwa nini ujenge kibanda umbali wote huo kutoka main panel?
 
Mkuu mahesabu ya BOQ yapo hapo.
Wewe yapitie uone cha kupunguza.
Ni kweli wasiojua ujenzi wanafikiri mkandarasi ndiye mwenye gharama, hawajui kuwa specifications ndio zinaelekeza kitasa , mbso na madirisha ya aina gani kufunga kwenye jengo.

Ni kweli kabisa. Kitasa cha HAFELLE made in German bei yake siyo chini ya 250,000. Kwa hiyo ili kujua bei lazima kujua nyumba imejengwa kwa kutumia vifaa vya standard gani kwanza. Kuna mtu alisema million2 unamaliza hicho kibanda lakini ukweli ni kwamba huwezi hata kwa million 4 jinsi vifaa vilivyopanda bei. Watafutwe QS Neutral wakafanye Measurements/ Taking off kwa ueledi ili kupata ukweli.
 
Bwana tusijifanye wataalamu sana.hapo hela imeliwa .hakuna quality ya milion 11 hapo.
Full stop.
 
Tatizo mnafikiri PM alijua bei ya kibanda akiwa pale, alishapitia kila kitu kabla ya kwenda site.
 
Hayo yoyote nichaka la kupiga fedha za walipa Kodi.
 
Muongozo umetoa nafasi ya Kununua soda ya 600, na si ya 1000.
Force account ,hautaki mbwembwe.
 
Nimesikia choo cha Asian cha shilingi 40000. Hiyo bei ni ya choo cha kihindi. Kwenye miradi ya serikali vyoo ni Armitage Shank na hupati cha chini ya 300,000. Dar. Haujakisafirisha. Haujakifunga.

Amandla...
Mjenzi amekili kuweka hicho Cha 40,000.

Cha 300,000 umekiweka wapi?
 
Ndio maana tunasema watu wenye vichwa vya panzi mna comment vitu ambavyi hamjui.
Mbaya zaidi Waziri Mkuu ambaye hajui uwa kuna ma Cinsultant na ma QS wengi tu wa kumpigia mahesabu.
Yeye anaijua takukuru tu!
Muwage na akili basi kwa vitu msivyovijua, intellectual caoacity sifuri kabisa.
 
Tungebishaniana ubora na siyo gharama... Maana gharama zinakokotolewa toka kwenye ubora.
Ni maamzi tu. unaweza kufanya kitu Bora kwa gharama nafuu.

Ukiangalia nakusikliza maezo ya hao wataalam , un
utagundua kua hawana utashi wa kupunguza gharama.

Kulikua na sababu gani ya kulaza tofari wakati juu amepiga bati?

Mwalim wa Veta na ma engeneer wanaambiwa 1500×160 bila aibu wanasema iwe 1500×200 , Ili iwe lahisi.

Ulahisi wa kukokotoa hesabu za × ni kuongeza 25%? Kweli huu ndio usomi?
Wasomi wa sample hii watazidi kutuongezea Tozo hadi kwenye pumzi.
 
Bwana tusijifanye wataalamu sana.hapo hela imeliwa .hakuna quality ya milion 11 hapo.
Full stop.
Tumia akili yako ya ziada, fuatilia hayo mahesabu na tupe mrejesho.
Tatizo watanzania hamupendi kutumia akili, utafikiri hiyo akili inakwisha kama unga wa dona mnalokula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…