Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Wameshasema "ATCL inatoa huduma", kama vile madaraja na barabara na huduma hiyo inasaidia "kuchochea ukuaji wa biashara na sekta nyingine". Hawa jamaa hawana mpango wa kufanya biashara
 
Aah bado twalipa tasilimu!
 
Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Kuna limoja linataga tangu 2015 mpaka leo halijatotoa licha ya kumwagiwa mabilioni ya shilingi
 
Bora shirika letu linakuwa maana Hali ya uchumi inakuwa Kwa asilimia kubwa sana na hakuna namna
 
Nadhani zilikuwa zimeshalipiwa advance...sasa kuziacha pesa ingeenda bure au riba pengine ingekuwa kubwa...nahisi tu si utaalam huo...wazilete tutaziuza hehehehe
 
Hivi wakati CAG anasoma Taarifa mnakuwa mmesinzia au?

Hata mijadala bungeni ipo...acha uvivu...tafuta Taarifa
Ni kweli hali ya hilo shirika ni mbaya kwa sababu ya madeni linalodai taasisi mbali mbalii za serikali.
Lakini hiyo figure unayotaja ni uongo na haipo kwenye report ya CAG. You don't have to lie to make your point.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nchi bhana
 
Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Nan kakuambia haziboreshwi... kwanza mara yako ya mwsho kwnd hosp n lin labda...? tatzo lnaweza kuanzia hapo...
 
Basi CAG ni muongo na hana uelewa kuliko wewe, napendekeza wew ndiye uwe CAG.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka ujue kuchambua ripoti ya CAG ila kama una akili kama zako ni bure tu.
 
Asante 🙏sana Magufuli! Upumzike kwa amani ya milele shujaa wetu Mh Dr JPM 🙏🙏🙏!
 
Hasara hasara hasara Majaliwa awajibishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…