Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Huyo bwana amekuwa muongo muongo sana usikute anasema uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe mwanzoni ulipokubaliana na mimi na kudai kuwa kama naona Majaliwa hafai kwa kusema kwake uongo basi niingie mimi,ulifikiri ni uongo upi?uongo upi?
🙏🙏🙏wameshauriwa. Sana hilo swala nadhani wamelitolea ufafanuzi...
Aah bado twalipa tasilimu!Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.
Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.
Kuna limoja linataga tangu 2015 mpaka leo halijatotoa licha ya kumwagiwa mabilioni ya shilingiSerikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Ina maana hujui uongo uliosemwa msikitini, au na wewe ni muongo?!uongo upi?
Ni kweli hali ya hilo shirika ni mbaya kwa sababu ya madeni linalodai taasisi mbali mbalii za serikali.Hivi wakati CAG anasoma Taarifa mnakuwa mmesinzia au?
Hata mijadala bungeni ipo...acha uvivu...tafuta Taarifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nchi bhanaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.
Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.
Nan kakuambia haziboreshwi... kwanza mara yako ya mwsho kwnd hosp n lin labda...? tatzo lnaweza kuanzia hapo...Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Mpaka ujue kuchambua ripoti ya CAG ila kama una akili kama zako ni bure tu.Basi CAG ni muongo na hana uelewa kuliko wewe, napendekeza wew ndiye uwe CAG.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante 🙏sana Magufuli! Upumzike kwa amani ya milele shujaa wetu Mh Dr JPM 🙏🙏🙏!Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.
Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.
Hasara hasara hasara Majaliwa awajibishwe.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitaja maeneo mengi sana ya kuonesha mafanikio ya Serikali , hapakuwa na makofi mengi kama alipoongelea ndege na airtanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuna ndege nyingine zinaletwa katika mwaka 2021/2022. na hivyo Serikali itakuwa na ndege zake 12. View attachment 1750977
Kisha akasema kwamba analipongeza sana Shirika la ndege airtanzania kwa kuanzisha safari za kwenda nje ya nchi hususan China , kwani safari hizo zitaongeza watalii na kuchochea ukuaji wa Biashara.
Wabunge wakaongeza vigelegele na makofi [emoji119][emoji119][emoji119]
Utopolo katika ubora wake.Au umesahau PM alipita bila kupingwa? Sasa hivi unasema nini? Eti watz ndio walimchagua!!!?
Kwa hiyo utaki Mh. Samia agombee tena?Asante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana