Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Wameshasema "ATCL inatoa huduma", kama vile madaraja na barabara na huduma hiyo inasaidia "kuchochea ukuaji wa biashara na sekta nyingine". Hawa jamaa hawana mpango wa kufanya biashara
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.

Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.

Aah bado twalipa tasilimu!
 
Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Kuna limoja linataga tangu 2015 mpaka leo halijatotoa licha ya kumwagiwa mabilioni ya shilingi
 
Bora shirika letu linakuwa maana Hali ya uchumi inakuwa Kwa asilimia kubwa sana na hakuna namna
 
Nadhani zilikuwa zimeshalipiwa advance...sasa kuziacha pesa ingeenda bure au riba pengine ingekuwa kubwa...nahisi tu si utaalam huo...wazilete tutaziuza hehehehe
 
Hivi wakati CAG anasoma Taarifa mnakuwa mmesinzia au?

Hata mijadala bungeni ipo...acha uvivu...tafuta Taarifa
Ni kweli hali ya hilo shirika ni mbaya kwa sababu ya madeni linalodai taasisi mbali mbalii za serikali.
Lakini hiyo figure unayotaja ni uongo na haipo kwenye report ya CAG. You don't have to lie to make your point.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.

Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nchi bhana
 
Serikali inapenda ndege kuliko kuboresha hospitali kwa ajili ya matibabu ya wanyonge.
Nan kakuambia haziboreshwi... kwanza mara yako ya mwsho kwnd hosp n lin labda...? tatzo lnaweza kuanzia hapo...
 
Basi CAG ni muongo na hana uelewa kuliko wewe, napendekeza wew ndiye uwe CAG.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka ujue kuchambua ripoti ya CAG ila kama una akili kama zako ni bure tu.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.

Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.

Asante 🙏sana Magufuli! Upumzike kwa amani ya milele shujaa wetu Mh Dr JPM 🙏🙏🙏!
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitaja maeneo mengi sana ya kuonesha mafanikio ya Serikali , hapakuwa na makofi mengi kama alipoongelea ndege na airtanzania

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuna ndege nyingine zinaletwa katika mwaka 2021/2022. na hivyo Serikali itakuwa na ndege zake 12. View attachment 1750977

Kisha akasema kwamba analipongeza sana Shirika la ndege airtanzania kwa kuanzisha safari za kwenda nje ya nchi hususan China , kwani safari hizo zitaongeza watalii na kuchochea ukuaji wa Biashara.

Wabunge wakaongeza vigelegele na makofi [emoji119][emoji119][emoji119]
Hasara hasara hasara Majaliwa awajibishwe.
 
Back
Top Bottom