Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
That is the solution but it doesn’t mean whilst they are doing that traders should be allowed to exploit the situation.Nimekushauri, ushauri mdogo tu, fuata principles za Economics. Flood the market to quell the high demand.
Waagize cement, price will adjust itself.
Nakubaliana na wewe kuwa donda ndugu liko wizarani, toka tupate uhuru hatujawahi kuwa na KM wazuri kabisa kuweza kufanya mikakati ya kuendesha wizara kibiashara, badala yake ni kisiasa na longolongo nyiiiiiiingi.That is the solution but it doesn’t mean whilst they are doing that traders should be allowed to exploit the situation.
Ukiniuliza mimi msingi wa tatizo la saruji ni uzembe ule ule tunao uona kwenye mafuta mara kwa mara, sukari kipindi cha Ramadhan na kwengineo; the main issue being inventory control either serikali kutokuchukua hatua haraka kipindi ambacho kuna seansonal variation, kutochukua hatua haraka kampuni inapoacha kuzalisha mpaka waishiwe stock kabisa shida ianze, etc to do with incompetence huko wizara ya biashara na EWURA.
Kama ilishindikana kushusha bei ya sukari ndiyo itakuwa simenti?Naamini watakaa wakipata nafasi na watatafuta namna nzuri ya kulitatua hili ikiwa niboamoja na wamiliki wa viwanda /wazalishaji wa cement
Sent from my HD1910 using JamiiForums mobile app
Hakuna any new projects ambazo zimefanya demand iende juu tofauti na miaka 2 au 3 nyuma. So if the demand is on average the same this implies that the supply has been reduced. So the problem here is what has triggered the reduction in supply?Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.
Sasa kwanini wao wapandishe kutokana na shortage, simple it’s ‘profiteering’
Serikali makini aiwezi fumbia macho utaratibu huo wa soko.
Mbona juzi tuu nimenunua mafuta ya alizeti 5 Lts kwa elfu 15?Mafuta ya kupikia nayo nijanga kwelikweli.
This partly explains causes of reduction in supply.Sekta binafsi ndio corner stone ya uchumi, hakuna mchawi hapa, Kodi ni nyingi, Kodi ni kubwa na regulations ni nyingi hivyo watu wanahangaika na ku complay nazo kukwepa fine( hawawekeze akili zao kwenye kutafuta biashara ), Corona imeleta tatizo kubwa, kunatakiwa hatu kubwa kuchukuliwa, uchumi wa dunia umeunganika, ila Africa mkopo imekua na riba kubwa kushinda China, Europe na USA hivyo mfanya biashara wa TZ anashindwa kushindana na wa nchi nyingine.
Some say Dangote has halted production. Ndio kilichosababisha shortage.Hakuna any new projects ambazo zimefanya demand iuende juu tofauti na miaka 2 au 3 nyuma. So if the demand is on average the same this implies that the supply has been reduced. So the problem here is what has triggered the reduction in supply?
Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.
Sasa kwanini wao wapandishe kutokana na shortage, simple it’s ‘profiteering’
Serikali makini aiwezi fumbia macho utaratibu huo wa soko.
Dangote needs to be fined kumbe yeye ndio tatizo, awakutoa taarifa mapema serikali ijipange.
Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu hawawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.Sio kweli kiwanda Cha cement sio dangote peke yake
walipotaka kumfungia kiwanda chake wangemlaumu Nani?.
twiga cement anapeleka cement Rwanda wakati sisi wenyewe hatuna cement Nani aliyewakemea?
Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu awawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.
Dangote wao wenyewe wanajua wamekosea walitakuwa kuitaarifu serikali in advance ijipange.
Rwanda pia soko issue hapa ni supply ya ndani watu awawezi vunja makubaliano na wafanyabiashara wa nje kisa kuna kiwanda kimoja kimeacha uzalishaji that is not good business practice.
Dangote wao wenyewe wanajua wamekosea walitakuwa kuitaarifu serikali in advance ijipange.
Soma post yangu number #21 na Lu-ma-ga #22 ndio tulichokuwa tunaongelea hiko wizara ya biashara inatakiwa kuwa na taarifa mapema kampuni itakapo simamisha uzalishaji, wajue ‘lead time’ ya huko wanapo order mpaka kufika ili supply isiathirike.basi Kama wameona wamezidiwa na hawawezi kuacha kupeleka cement Rwanda.basi SERIKALI ITOE KIBALI IWAPE WAFANYABIASHARA WAAGIZE CEMENT YA NJE.tuwaache hao twiga waendelee na soko lao la Rwanda.alafu tuone Kama kuna mfanyabiashara atawafata twiga.serikali itoe vibali