Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

Wewe uelewa wako wa biashara na uchumi ni very limited, matter of fact ni wewe ndio unaefahamu nadharia lakini do not know how things work at production stages.

Hivi unadhani how do business manage seasonal variation demands? Kama ni ivyo si watu wangekuwa wanasubiri msimu wa mafua baridi ikija wapandishe bei ya dawa maana demand itakuwa kubwa.

Kwanini aitokei ivyo sababu ni hizi

I) price gouging is illegal in all economies sio Tanzania tu uwezi kutumia unexpected demand kubwa wakati costs zako za production ni zilezile kuongeza bei.

II) Biashara zinatakiwa kujua how much to produce at anytime na kuwa na inventory zao za kutosha at all seasons (this is why ppl study business management).

III) Ikitokea kuna uhaba wa bidhaa serikali inaruhusu uagizaji with less importation taxes (ndio maana nchi nyingi zinafuatilia inventory zinazozalishwa na material usages) kama kuna tatizo wachukue hatua haraka. Iwapo kweli uwezo wa kuzalisha ni mdogo kuliko demands utaona incentives za biashara kuwekeza katika hiyo sector ili kupunguza uagizaji.

Temporary disruptions kwenye production zinazo athiri supply in short space of time sio kigezo cha kupandisha bei wakati watu bado wana stocks zao.

Ingelikuwa inaruhusiwa kupandisha bei kila mara demand inapokuwa kubwa basi supermarket zote nchi za wenzetu wangepandisha bei wakati COVID imewaingilia kulikuwa na panic buying ya baadhi ya bidhaa mbona awakufanya simple. Serikali isingeruhusu kwa sababu production costs bado zile zile.

Isitoshe kuna sababu nyingi sana zinazo sababisha price hike when demand is higher than the supply zingine zina justify price increase zingine serikali nyingi azikubaliani nazo.

Kila situation ya demand and supply inabidi uingalie tofauti usikariri tu zingine costs zinaongezeka kwa sababu kwenye kuzalisha plants zina minimum costs of running kwa ivyo asipopata material za kutosha kuvuka operation costs zake gharama inabidi zifidiwe kwenye bidhaa.

Uchumi sio kukariri unatakiwa uelewe what is the cause and if it justifies the reaction.

Hayo ya sukari wala sitokujibu kwa kukusoma tu uelewi unachoongea. Issue sio supply and demand; rather protectionism wakati costs za kuzalisha sukari zipo juu kuliko kuagiza. Waagizaji walikuwa wanawalazimisha wauzaji wa ndani kushusha bei, matokeo yake wengi walikuwa wanalalamika wanakaribia kufilisika kwa sababu awawezi shindana bei. Uagizaji umepigwa stop sasa bei wanapanga wao kutokana na higher production costs zao serikali aiwezi shusha hizo bei labda waanze kutoa ruzuku.
 
Huwa wanatoa taarifa serikalini! Si umesikia Mwanasheria wa Dangote akiomba radhi kwa kutotoa taarifa serikalini!! kwahiyo huenda wangetoa taarifa labda Camel au twiga wangezalisha kwa wingi zaidi ili kuziba hilo gap!!Just thinking aloud.
 
Sukari ilianza hivi hivi baadae bei haujashuka mpaka sasa
 
Nasisitiza wewe kwenye uchumi ni zero ,nasisitiza wapo wengi sana humu wanaongeza idadi ya viewers wanasoma tu lakini hawa comment chochote.Nashauri ungana nao hakuna kitu unajua wewe kwenye uchumi.
Wakati mwingine kukaa kimya kunaficha ujinga wa mtu.
 
Ujinga ni serikali ya kihuni kukosa maarifa na kuanza kusaka Simenti kwenye nyumba za watu, pumbavu kabisa serikali hii
 
Sawa.ngoja tuone mwisho wake.
Si mnawatetea endeleeni kuwatetea.
Ila ukweli tunaujua.
Huwa wanatoa taarifa serikalini! Si umesikia Mwanasheria wa Dangote akiomba radhi kwa kutotoa taarifa serikalini!! kwahiyo huenda wangetoa taarifa labda Camel au twiga wangezalisha kwa wingi zaidi ili kuziba hilo gap!!Just thinking aloud.
 
Unajua kama unajifurahisha tu


Fuatilia kwanza mijadala wakati sakata la sukari linaanza, bado nakutafutia post zangu za zikipindi hiko nilikuwa nasema nini na kimetokea nini leo.

Wewe uchumi hujui wala management approaches zake uelewi.
 
Sikubaliani na mawazo yako ya udikteta.
Lakini katika principles za Demand and Supply nakubaliana kabisa.
For any commodity, as Demand goes up, or is constant, but supply goes DOWN, inevitably prices GO UP.
 
Wengi hawawezi kufikiri nje ya fikra za kiccmccm ndio tatizo kubwa. TUNAPENDA KUFURAHISHA WATU KWA KAULI...
KOROSHO NA SUKARI VINGETOSHA KUWA FUNZO KWA WAZEE WA AMRI NA MATAMKO
 
Ni muda muafaka sasa kutumia mbao kusakafia. Cement imepitwa na wakati after all.
 
Ni jazba inawasumbua watawala wa nchi hii. Anawapa kazi wakuu wa mikoa kutafuta majibu ya swali la kwa nini 1-1=0. Ni watawala kutaka kusikika wametamka nini, badala ya kusifiwa wametatua nini. Huwezi kuingiza bidhaa chache sokoni kisha utegemee bei iwe stable. Labda kwa theory mpya za uchumi wa kitanzania.
 
Hata mafuta ya kula yamepanda asishughulikie saruji peke yake, apambane na bei ya mafuta ishuke.
Vilivyo panda ni vingi mno na bado takwimu zitaonesha mfumuko wa Bei imeshuka.
 
Why then defend unjustifiable price increase, wakati cost za supplier hazijaongezeka?
Kumbuka umesema 'wazalishaji waliobaki'. Unakili uhaba japo wazalishaji hawajapandisha bei. Katika hali hiyo kuna hidden cost kwa wanunuzi ili kupata hicho kidogo kinacho zalishwa. Wazalishaji hawana Depots mikoani, bali mawakala.
 
Nimekushauri, ushauri mdogo tu, fuata principles za Economics. Flood the market to quell the high demand.

Waagize cement, price will adjust itself.
Umenena vema, wa kuwajibishwa ni serikali. Siku zote inafanya kazi kwa staili ya zima moto. Sukari inaadimika ndio inatoa vibali, petrol inaadimika ndio inawaita waagizaji, cement viwanda vinasimama haina habari.
 
Ndiyo maana amewaaagiza wakuu wa mikoa walifanyie kazi wampelekee report kamili ya nini kimejiri. Nadhani Waziri Mkuu ameweka hypothesis inayohitaji majibu so tusubiri findings.
Hapo ni kukumbuka shuka asubuhi.
 


Dangote needs to be fined kumbe yeye ndio tatizo, hawakutoa taarifa mapema serikali ijipange.
Aliko Dangote serikali ipo, au wote, RC, DC, RPC, RSO etc walikuwa kwenye pilika za uchaguzi? Hawakuiona Hali mbele kwa kiwanda kufungwa? Walitoa taarifa wizara husika?
 
Hizi degree za vitini zinamatatizo sana,kaa tulia usome comment za wengine,pata muda soma vitabu uongeze uelewa,wewe ulichonacho kwenye uchumi bado hakitoshi kwenye mijadala ya uchumi wa level yakitaifa.
 
Hizi degree za vitini zinamatatizo sana,kaa tulia usome comment za wengine,pata muda soma vitabu uongeze uelewa,wewe ulichonacho kwenye uchumi bado hakitoshi kwenye mijadala ya uchumi wa level yakitaifa.

☝️ Pitia hiyo thread usome michango ya watu humo I recommend comments za ‘Dar-si-Lamu’ uone tatizo la bei ya sukari lilivyotabiriwa kupanda wakati ndio kwanza serikali inaanza zuio, bei ikiwa bado tsh/1500-1800

Baadhi ya wachangiaji wengine walikuwa hawa 👇





Kukosa ubunifu translates into lack of initiatives to cut productions costs.

Huko ndio tulikotoka kwenye sukari, like I told issue ya msingi aikuwa ‘demand and supply’ bali protectionism inabidi uelewe other economic factors. Kuna video na thread nyingi tu JF zilizokuwa zinataka serikali izuie uagizaji wa sukari kulinda viwanda vya ndani.

Hila kwa mtu kama wewe kumpa somo ni sawa na kutangwa maji kwenye kinu.

Me done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…