grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Duh!Acha upuzi m.fuvck wewe.... Wewe unaweza ukaharibu miaka yako 9 kutafuta degree afu ukaja kwenda kusoma veta inayohitaji darasa la 7?. Punguzeni ujinga kumamayo zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Acha upuzi m.fuvck wewe.... Wewe unaweza ukaharibu miaka yako 9 kutafuta degree afu ukaja kwenda kusoma veta inayohitaji darasa la 7?. Punguzeni ujinga kumamayo zako
😆😆😆😆Waziri Mkuu ni mjinga sana
Huna hojaHabari!
Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.
Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.
Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?
Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.
NJE YA MADA
Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa TAZARA Dar es salaam nawasubiri.
Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
Mbona ni kauli yenye kujenga, sema watu kutaka makubwa, na ni kwakuwa hiki ni kipindi cha uchaguzi basi kila kauli itajadiliwa... Simple kama unaoana umesoma na bado degree haijaweza kukutoa ulipo...
Piga kozi za veta kuna mawili aidha ujiajiri ama uajiriwe kwa level ya chini... Sababu huku level ya chini possibility ya kupata ajira ni kubwa kuliko level ya juu
We unahisi ukisoma kozi ya ufundi umeme, huwezi pata hata kazi ya kupiga wiring kwenye majengo?
au kozi ya kuchomelea, huwezi pata fursa ya kutengeneza mageti?
Haya matoto mafala yanaandika ujinga tu humu kumamake zao hawa .Acha upuzi m.fuvck wewe.... Wewe unaweza ukaharibu miaka yako 9 kutafuta degree afu ukaja kwenda kusoma veta inayohitaji darasa la 7?. Punguzeni ujinga kumamayo zako
Ndio maana tunawambia vijana watoke magetoni(comfort zone),ukiwa mwalimu mwenye degree halafu ukajifunza kupamba maharusi,kumbi ,kutengeneza cake ,kukodisha tent,viti .Mtu akikwambia ualimu haulipi utamshangaa maana kipato chako hakitegemei mshahara .
😏punguza pombe za kienyeji
UtapigwaHivi degree ni kitu gani kwani mtu anamaliza na hajui chochote hadi aelekezwe tena.
Waziri Mkuu yuko sawa kama hawataki wakae nyumbani wazeeke na degree zao.
Wewe umeenda veta? Na hicho cheti chako cha diploma kinakusaidia nini?. Nongwa la kutokusomaBonge la point Ila subiri sasa matusi kwa wale waliopita direct ambao hata diploma hawana .
N.b
Katika cheti kinawindwa kwa sasa ni cha diploma .
Nisamehe 🤗Utapigwa
Sawa wewe mwerevu, endelea kupambana na bahasha yakoAcha upuzi m.fuvck wewe.... Wewe unaweza ukaharibu miaka yako 9 kutafuta degree afu ukaja kwenda kusoma veta inayohitaji darasa la 7?. Punguzeni ujinga kumamayo zako
HapanaHivi (super black dyes) PIKO nazo zinatengenezwa VETA?
Boss Yupi MkuuBosi wake alianza kaxi na kozi ya Veta,
Secretary tatizo liko wapi?
Alitakiwa kabisa afukuwe uwwziri mkuu na viboko juuHabari!
Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.
Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.
Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?
Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.
NJE YA MADA
Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa TAZARA Dar es salaam nawasubiri.
Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
Mbona hana nia mbaya, mbona mm najifunza mapishi na keki, nipo na Waziri Mkuu hadi uchaguzi ujao,Habari!