secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Kwanza kabisa kwa kunipa historia. Ninachopingana nacho ni uwongo wa Kasimu majaliwa kuhusi afya ya Magufuli. Kwani angesema anaitwa lakini ana hali nzuri au akakaa kimya kabisa kitu gani kingetokea.Joseph stalin pia 1953, chama kilizuia kutangaza kabisa kifo chake mpaka wamalize mchakato wa mrithi,
Saparmurat niyazov wa turkmenistan nae alipiti mchakato huo 2006, hii habari ipo kwenye kitabu cha history kile complimentary cha form 3.
Francisco franco wa spain 1975, ambapo madaraka alikaimu mfalme juan carlos I.
Constantine cherneko, yuri andropov, Leornid brezhev wa urusi soviet union hawa tena vifo vyao vilipishana mwaka mmoja hadi miwili, walikua kama wanauliwa hawa. I guess kuna mmoja ilikua 1982, akafata mteuliwa wake 1984, aliyefata kawa 1985, walifatana. Walikua wacommunist nadhani waliuliwa.
Eti "Yuko timamu na anaendelea na majukumu yake" wakati mtu kashafariki