Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Tukiwambia Afrika hamna real policitians Bali Kuna wachumia tumbo tu muwe mnatuelewa.
 
Nilijua atarudi ccm toka siku ile ameshindwa kuwa mwenyekiti wa kanda,Sumaye is politically dead and buried in forgotten evil forest, to him life is unbearable out of ccm,retired PM behaving just likes of class 3 dropout (Msukuma)These are political grasshoppers and Tumbo-crats
 
Huyu mzeee angekaa tu apumzike jamani kwani anahangaika na nini? Kwa umri alionao na Kwa cheo cha uwaziri Mkuu alichokaa nacho Kwa miaka kumi alipaswa akae apumzike sasa maaana sidhani Kama kuna cheo tena anachoweza kuomba Kwa sasa maaana alishashika cheo cha mwisho Kabisa Kwa utendaji wa serikali maana hicho cha urais hawez pata wala hakimfai hafai hata kugombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said stella1975
 
Kama kuna mbingu basi wanasiasa hawaendi.
 
Kazi ziko nyinge, kuna KAMPENI MENEJA inakuja soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…