ferg
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 1,327
- 1,800
mwanamwana, Huyu ndio alitaka kuwa Mwenyekiti CHADEMA, Dunia ina maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi? Hebu nionyeshe, acha kuropoka ropoka hovyo.Wewe so ulimwita mjinga?
Kivipi?Leo sio mr ziro
Mr zero ,fisadi papa, jizi la mali za umma wala hatubadilishi kauli kazi ilikuwa kwenu kuwafua na kuwapiga pafyum na kuwapigia deki lami!Hakuna jipya hapo zaidi ya nyinyi waramba miguu kuona aibu maana mlimtukana sana kipindi amehamia cdm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unawasemea pole kwa kupatwa na tumbo la kuhara kunywa shubiri na majani ya mdodoki!Wanarudi kimwili tu lakini akili zao tayari zishakataa kubakia CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr zero ,fisadi papa, jizi la mali za umma wala hatubadilishi kauli kazi ilikuwa kwenu kuwafua na kuwapiga pafyum na kuwapigia deki lami!
Hawa ndio wana Lumumba sasa,alipokuwa nje ya ccm mlimwita fisadi,leo karudi mnafurahiaSafi sana.
Huyu mzeee angekaa tu apumzike jamani kwani anahangaika na nini? Kwa umri alionao na Kwa cheo cha uwaziri Mkuu alichokaa nacho Kwa miaka kumi alipaswa akae apumzike sasa maaana sidhani Kama kuna cheo tena anachoweza kuomba Kwa sasa maaana alishashika cheo cha mwisho Kabisa Kwa utendaji wa serikali maana hicho cha urais hawez pata wala hakimfai hafai hata kugombeaMh. Sumaye, baada ya kukaa na kutafakari najuwa bado una Maono (vision) ilikutuma kutaka kugombea uwenyekiti wa taifa Chadema. Bahati mbaya ukakutana na mbinyo wa democracy ikakubidi utafute mahali ambapo utapata fursa. Sasa basi gombea uwenyekiti wa taifa ili uweze kutimiza ndoto zako, katika chama ulichorejea.
Well said stella1975Huyu mzeee angekaa tu apumzike jamani kwani anahangaika na nini? Kwa umri alionao na Kwa cheo cha uwaziri Mkuu alichokaa nacho Kwa miaka kumi alipaswa akae apumzike sasa maaana sidhani Kama kuna cheo tena anachoweza kuomba Kwa sasa maaana alishashika cheo cha mwisho Kabisa Kwa utendaji wa serikali maana hicho cha urais hawez pata wala hakimfai hafai hata kugombea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ziko nyinge, kuna KAMPENI MENEJA inakuja soonHuyu mzeee angekaa tu apumzike jamani kwani anahangaika na nini? Kwa umri alionao na Kwa cheo cha uwaziri Mkuu alichokaa nacho Kwa miaka kumi alipaswa akae apumzike sasa maaana sidhani Kama kuna cheo tena anachoweza kuomba Kwa sasa maaana alishashika cheo cha mwisho Kabisa Kwa utendaji wa serikali maana hicho cha urais hawez pata wala hakimfai hafai hata kugombea
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa haina aibu bwasheeJamani haoni hata aibu! Alitukanwa na kina Mkapa balaa leo unarudi?
Ndio hivyo hivyo afanye fanye figisu figisu huko,wabadiri katiba,ili hiyo nafasi iwe inagombewa na wengine,aigombeeKwani uenyekiti wa CCM taifa huwa unagombewa? Sijawahi kuona hicho kitu