Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Demokrasia kujinadi na matendo yako mema lakini maamuzi ni ya wapiga kura wenyewe. Nadhani hata Mbowe angepigwa chini kama CCM wasingeingilia uchaguzi wa CHADEMA. Ila walikuwa wajinga kutoelewa chadema si CUF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinana akiwa CCM mnamwita mzee wa pembe za ndovu akija CDM mtamwita mzee mwenye msimamo na asiyebabaishwa na CCM akirudi CCM mtarudia tena kumwita mzee wa pembe za ndovu. Nyie ni vinyonga nyambafu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Sumaye na Lowasa walipokuwa CHADEMA mlikuwa mnawaitaje?
 
Wacha mimi nipambane na maisha. Wanasiasa ni vigumu kufikiria maisha ya wengine. Huyu alitaka awe chairman wa CHADEMA. Mwaka huu utakuwa mfupi sana japo maisha nayo yanazidi kubana kama nguo za kuogelea.
 
Sasa pandikizi lililofeli linarudi kwao hiyo nayo ni habari.

Habari labda iwe ni huyo Dk Bashiru kugeuzwa zezeta na CCM
 
Bora karudi kuzikwa kwa heshima.Arudishiwe Mali zake kuanzia mashamba yake
 
Ni haki yake kikatiba.
Mimi kinachoniudhi ni kwamba hawa wanasiasa ni waongo sana. Juzi nilona akiojiwa akasema hana mpango wa kurudi CCM, wala kujiunga na chama chochote cha siasa. sasa kama amerudi, basi kuna kitu alikiacha na amerudi kukichukua.

Wamekatwa mikia
 
Kumleta Sumaye kwenye Jukwaaa ni mkakati wa kuondoa mjadala wa Mzee Makamba na Kinana kwenye jukwaa, siasa kweli ni mbinu.

CCM yangu ninawapenda sana mnavyocheza karata na hii ndio itakayokuwa habari leo na kesho na itafunika mjadala wa Makamba na Kinana.

Huo ndio ujanja wa siasa ndugu ngoja tutililike na hii wiki nzima ingawa Sumaye hana mvuto wowote kwenye siasa kuliko wale makada Kinana na Makamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wazee wanabugi sana CCM imewalea,imewapa Maisha, imewaoza kila kitu CCM vipi uzee wale CHADEMA
 
Back
Top Bottom