mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Wanasiasa wachwara hawa. Acha bahari iteme uchafu!Si alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wachwara hawa. Acha bahari iteme uchafu!Si alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Kwani Sumaye na Lowasa walipokuwa CHADEMA mlikuwa mnawaitaje?Kinana akiwa CCM mnamwita mzee wa pembe za ndovu akija CDM mtamwita mzee mwenye msimamo na asiyebabaishwa na CCM akirudi CCM mtarudia tena kumwita mzee wa pembe za ndovu. Nyie ni vinyonga nyambafu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa akivuta muda lakini alishajua anaenda wapiHabari haisisimui, ilitakiwa aunge siku alipotoka chdm
Kinana na Makamba watahamia CHADEMA
Wapi ulinisikia nikisema hivyo? Usinilishe maneno tafadhali.