Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

Namuomba mungu kisisimame kiama mpaka anikutanishe nawe then na kukuuliza hili swali siku ya kiama " je anayekisimamisha kiama hiki au siku hii ya leo ya mwisho ni nguruwe?"
Peleka upupu wako wewe, kiama unaijua wewe? Au unaleta muendelezo wa story za kusadikika?
Mnapoamua kukashifu wenzenu mjiandae kuwa wavumilivu.
Maana mnapokashifu wenzenu kwa misingi ya imani na mafundisho yenu basi mjue kuna watu wamefundishwa kuwaheshimu ninyi na imani zenu ila siyo mafala, kwani pamoja na kutokuwa na misingi na mafundisho ya kuwakashifuni ila wana uwezo wa kuwakashifuni kwa makusudi tu hadi mjilambe makamasi.
 
Ana tofauti gani na anayeomba katika sanamu ya bikira Maria au anayesafiri mpaka Saudia kupiga jiwe kubwa mawe??
ni imani au utaratibu ulowekwa ili kufanya mazingira yawe rafiki baina yetu but imani nyengine hazifai moja wapo hii.
 
Even the calf on the pic be like WTF bomboclaaat outta world fvckry b dis?

He's like i just wanna eat my grass and wait for my excution.. whats with all the gimmicks
 
Even the calf on the pic be like WTF bomboclaaat outta world fvckry b dis?

He's like i just wanna eat my grass and wait for my excution.. whats with all the gimmicks
Wahindu hawachinji ng'ombe, hawali nyami ya ng'ombe.
 
Waziri mkuu wa India Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).

Katika dini ya Kihindu ambayo Modi ni mfuasi wake kindakindaki ng'ombe anachakuliwa kama mama wa dunia na ubinadamu na anapewa hadhi ya juu pamoja na heshima kubwa ikiewemo pamoja na marufuku ya kuliwa.

View attachment 3096044
hebu search Iglesias on Indian Cow halafu ucheke
 
Kina nani hao ..?!
Hawa
islam-3782623_1920-Umrah-_16ae4364469_medium.jpg
 
Back
Top Bottom