Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
hizi imani ni balaa mtu na cheo chake anaabudu ng'ombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka upupu wako wewe, kiama unaijua wewe? Au unaleta muendelezo wa story za kusadikika?Namuomba mungu kisisimame kiama mpaka anikutanishe nawe then na kukuuliza hili swali siku ya kiama " je anayekisimamisha kiama hiki au siku hii ya leo ya mwisho ni nguruwe?"
ni imani au utaratibu ulowekwa ili kufanya mazingira yawe rafiki baina yetu but imani nyengine hazifai moja wapo hii.Ana tofauti gani na anayeomba katika sanamu ya bikira Maria au anayesafiri mpaka Saudia kupiga jiwe kubwa mawe??
"Imani zingine hazifai moja wapo hii" wewe yako ipi ?ni imani au utaratibu ulowekwa ili kufanya mazingira yawe rafiki baina yetu but imani nyengine hazifai moja wapo hii.
hebu search Iglesias on Indian Cow halafu uchekeWaziri mkuu wa India Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto).
Katika dini ya Kihindu ambayo Modi ni mfuasi wake kindakindaki ng'ombe anachakuliwa kama mama wa dunia na ubinadamu na anapewa hadhi ya juu pamoja na heshima kubwa ikiewemo pamoja na marufuku ya kuliwa.
View attachment 3096044
Afya ya akili nini sasa?Afya ya akili
Mbona hautaji wale wengine wanaokaribia kutoana roho wakiliwahi lile jiwe jeusi?Hana tofauti na waabudu masanamu ... Wakatoliki
Kina nani hao ..?!Mbona hautaji wale wengine wanaokaribia kutoana roho wakiliwahi lile jiwe jeusi?
HawaKina nani hao ..?!
Sio wakibusu jiwe naona waislam wakifanya twawaf... Unaijua twawaf?!
Kila hijjah huwa mnakufa wangapi ?Sio wakibusu jiwe naona waislam wakifanya twawaf... Unaijua twawaf?!
Hao wanafanya nini hapo ?!Kila hijjah huwa mnakufa wangapi ?View attachment 3096122