Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani.
Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa pia Ujerumani na Ufaransa kwa lengo la kufanikisha kuumaliza mzozo wa Ukraine na Urusi.
Bennett pia amezungumza na Rais wa Ukraine, Zelensky baada ya mazungumzo yake na Putin.
Baada ya hapo, Bennett alifunga safari mpaka Ujerumani na kuonana na Chancellor Olaf.