kwapijala
Member
- Mar 6, 2022
- 29
- 19
katika watu wasiojitambua wewe ni miongon.mambo ya siasa za ndani imeingiaje hapaToka nimeanza kuwajua wanaCCM wahajawahi kuniangusha kwenye kuongea ugoro . jambo lolote ukitaka liharibike na kuonekana pumba mshirikishe mwana Lumumba.