Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

Acha ujinga kwa nini waondoke makazi yao wanakopata riziki zao kuwa wakimbizi au kuishi kwa misaada? Issue sio kuondoka safely ni ku disturb their life pattern .Unataka Waende sehemu peaceful waishi kwa Donatons?
Myahudi hayo maisha hawezi.Myahudi sio mgogo Omba Omba mtegemea UNHCR au Serikali ya Israel au International charities! donations!! Huyo Goliath Putin kaharibu kabisa pattern ya maisha ya wayahudi wa Ukraine kutoka kuwa independent na kuwa watu wa kuishi kwa donations

Nasubiri taarifa rasmi sio hii yako unajua kwa kupata huyo Goliathi Putin anachokitafutakwa wayahudi atakipata
Ndiyo maana nakwambia haya mambo huyajui! Ni kwamba katika nyakati hizi za mwisho,Mungu sasa hivi anawakusanya Wayahudi katika mataifa yote na kuwarejesha katika nchi yao ya ahadi,(Kumbukumbu30:3-5) na (Amos9:14-15)
Na ndiyo maana sasa hivi kuna chuki dhidi ya Wayahudi (antisemitism) mahali pengi duniani hata huko Ulaya na wakati huohuo Israel inaendelea kupanua maeneo katika ardhi za Wapalestina na kujenga nyumba kwa ajili ya Walowezi wa Kiyahudi.
Wayahudi ko kote duniani huko waliko wanaitwa walowezi wa Kiyahudi!
Kwa hiyo vita inayoendelea huko Ukraine ni njia ya kuwarudisha nyumbani,na kama nilivyosema sasa hivi Israel inaendela kutuma ndege za kuwachukua wayahudi wa Ukraine kuwaleta Israel.
 
Toka nimeanza kuwajua wanaCCM wahajawahi kuniangusha kwenye kuongea ugoro . jambo lolote ukitaka liharibike na kuonekana pumba mshirikishe mwana Lumumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]oyaaaa
 
Tulijuwa kabla ya vita na baada ya vita ila nilazima dunia na Putin pamoja majeshi yake wajuwe kile wamekifanya kuingia nakumwaga dam ya wa Ukraine lazima wakilipe hapa hapa dunia. Ili iwe fundisho kwa tawala nyingine zaki imla. Putin must pay is grave mistake in Ukraine
Poor you 😏
 
Mwambieni huyo Goliath Putin kuwa kinaenda mkuta kilichomkuta Farao na Jeshi lake walipowafuatilia wayahudi wawaue,pia kitamkuta kilichomkuta Haman kwenye Biblia aliyetaka Kuua wayahudi wote ,pia kitamkuta kilichomkuta Hitler aliyetaka kumaliza wayahudi

Goliath Putin na Jeshi Lenu jiandaeni kushindwa kwa Jina la Yesu.Mtaanguka Anguko
Wewe ni MAKERUBI?
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Kumbe jitihada zote za kuipinga Russia ni kwasababu hii!!!?
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Tumia kidogo ubongo wako kufikiri. Usikubali kuwa mateka wa akili.
 
Mwambieni huyo Goliath Putin kuwa kinaenda mkuta kilichomkuta Farao na Jeshi lake walipowafuatilia wayahudi wawaue,pia kitamkuta kilichomkuta Haman kwenye Biblia aliyetaka Kuua wayahudi wote ,pia kitamkuta kilichomkuta Hitler aliyetaka kumaliza wayahudi

Goliath Putin na Jeshi Lenu jiandaeni kushindwa kwa Jina la Yesu.Mtaanguka Anguko kuu
Tofautisha Hao no wayahudi (wadini) but sio waisrael WA (DAMU)
 
Duh!!
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Hatari sana, indoctrination at highest level.
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin

Screenshot_20220306-155355.png
 
Mwambieni huyo Goliath Putin kuwa kinaenda mkuta kilichomkuta Farao na Jeshi lake walipowafuatilia wayahudi wawaue,pia kitamkuta kilichomkuta Haman kwenye Biblia aliyetaka Kuua wayahudi wote ,pia kitamkuta kilichomkuta Hitler aliyetaka kumaliza wayahudi

Goliath Putin na Jeshi Lenu jiandaeni kushindwa kwa Jina la Yesu.Mtaanguka Anguko kuu
wew acha kuchanganya dini na udhalim. Kwani wakati ujerumani inapigwa kina Einstein walikuwa sio wayahudi? Kina Schrodinger walikuwa wabongo?
Nchi zote za ulaya karibu zina percentage za wayahudi, sasa unakataaje Putin sio myahudi au hadi awe anaingia kwenye masinagogi ya kiyahudi ndio uamini ni myahudi?
Hiv unajua historia ya Israel? Unajua kwanini Kirusi kilikua miongoni kwa Lugha tatu za kitaifa za Israel?
 
check link hiyo then come up wth your pumbaz
Hoja yako Haina mashiko

Chukulia mfano labda Russia ina population ya watu milioni 100 wayahudi chukulia wako milioni 10 ina maana wao ni minority ni only 10 percent ya population ya Russia

Haya twende Ukraine chukulia kwa mfano labda wako milioni 10 population ya nchi ya Ukraine kati ya hao milioni Kumi wayahudi wako milioni nane ambayo ni 80 percent ya population

Kwa takwimu zako ni sawa Urusi utaiona ina wayahudi wengi lakini kwenye population ni minority wakati kwa Ukraine ni majority

Hao minority wayahudi wa Urusi hawawezi kuwa na power kuzuia majority wa Russia wasivamie nchi ya wayahudi majority ya Ukraine
 
wew acha kuchanganya dini na udhalim. Kwani wakati ujerumani inapigwa kina Einstein walikuwa sio wayahudi? Kina Schrodinger walikuwa wabongo?
Nchi zote za ulaya karibu zina percentage za wayahudi, sasa unakataaje Putin sio myahudi au hadi awe anaingia kwenye masinagogi ya kiyahudi ndio uamini ni myahudi?
Hiv unajua historia ya Israel? Unajua kwanini Kirusi kilikua miongoni kwa Lugha tatu za kitaifa za Israel?
Putin sio myahudi yeye mwenyewe alikana
 
Hayakuhusu myahudi ukimgusa jiandae kukiona cha mtema kuni .Wayahudi wengi sio wakristo ila kaa nao mbali ukiwagusa utashangaa

Goliathi Putin anashambulia wayahudi chini ya Raisi wao Myahudi atajisaidia haja kubwa Kremlin nje ya choo cha ofisi yake shenzi type

Mwambieni awaogope wayahudi kama ukoma mbwa mkubwa
Huyo Mungu ndiye kakutuma utukane watu hovyo hivyo?

Atakuwa mungu how hirizi wa viunoni au kwapani huyo ila si Muumba mbingu na nchi [emoji38]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom