Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi Vladimir Putin Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine , mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani.

Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa pia Ujerumani na Ufaransa kwa lengo la kufanikisha kuumaliza mzozo wa Ukraine na Urusi.

Bennett pia amezungumza na Rais wa Ukraine, Zelensky baada ya mazungumzo yake na Putin.

Baada ya hapo, Bennett alifunga safari mpaka Ujerumani na kuonana na Chancellor Olaf.
Tulijuwa kabla ya vita na baada ya vita ila nilazima dunia na Putin pamoja majeshi yake wajuwe kile wamekifanya kuingia nakumwaga dam ya wa Ukraine lazima wakilipe hapa hapa dunia. Ili iwe fundisho kwa tawala nyingine zaki imla. Putin must pay is grave mistake in Ukraine
 
Mwambieni huyo Goliath Putin kuwa kinaenda mkuta kilichomkuta Farao na Jeshi lake walipowafuatilia wayahudi wawaue,pia kitamkuta kilichomkuta Haman kwenye Biblia aliyetaka Kuua wayahudi wote ,pia kitamkuta kilichomkuta Hitler aliyetaka kumaliza wayahudi

Goliath Putin na Jeshi Lenu jiandaeni kushindwa kwa Jina la Yesu.Mtaanguka Anguko kuu
yaani wewe ni mfuasi wa zumradi bila chenga unaonge umaku umaku tu
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
duh!
 
Putin sio myahudi angekuwa myahudi asingeshambulia Ukraine nchi inayoongozwa na Raisi Myahudi
Kwa utaira huu TZ tuna haki kuendelea kuwa watumwa wa mabeberu.

Nani kakupumbaza akili ukiwa Mu-Israel tayari wewe ni Mtakatifu 100% sawa na Mungu nakati kiuhalisia Ukraine ndiye kakosa hekima?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Putin sio myahudi angekuwa myahudi asingeshambulia Ukraine nchi inayoongozwa na Raisi Myahudi
Hivi Idi Amin angekuwa na damu ya kiyahudi inamaana ungesimama naye dhidi ya nchi yako. Tusichukulie kama Kila Myahudi ana back up ya Mungu. Ni binadamu kama wewe tu ambaye hutenda dhambi pia.
Kuna muda Mungu huruhusu jambo kwa kusudi lake analojua yeye au hata kukuadhibu au kuuangusha utawala wako.
Kumbuka hata kuna falme nyingi ziliangushwa japo ziliinuka baada ya kumrudia Mungu, kumbuka kwenye vita vya wamabakayo utaona wayahudi wakishinda sana lakini kuna wakati walishindwa sana japo waliinuka walipomrejelea Mungu wao.(soma Bible)

Hivyo usichukulie kigezo cha Uyahudi wa Zelensky kama ndio ana back up ya Mwenyezi Mungu. Pia kumbuka waziri mkuu aliyepo wa Russia naye inasemekana ana asili ya uyahudi na si huyo tu.

Hebu analysis zetu zijikite kwenye uhalisia tunaouona. Hata Mimi ninaamini Russia atashindwa hii vita lakini SIWEZI KU COMMENT KWA MIHEMKO YA MCHUNGAJI WANGU KANISANI LEO
 
Tulijuwa kabla ya vita na baada ya vita ila nilazima dunia na Putin pamoja majeshi yake wajuwe kile wamekifanya kuingia nakumwaga dam ya wa Ukraine lazima wakilipe hapa hapa dunia. Ili iwe fundisho kwa tawala nyingine zaki imla. Putin must pay is grave mistake in Ukraine
Mzukule mwingine huu hapa unaoshadadia upumbavu, hivi mbona tuko wakristo wengi tu tunaotumia akili kupambanua mambo badala ya mahaba kama ninyi[emoji848][emoji34]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni huyo Goliath Putin kuwa kinaenda mkuta kilichomkuta Farao na Jeshi lake walipowafuatilia wayahudi wawaue,pia kitamkuta kilichomkuta Haman kwenye Biblia aliyetaka Kuua wayahudi wote ,pia kitamkuta kilichomkuta Hitler aliyetaka kumaliza wayahudi

Goliath Putin na Jeshi Lenu jiandaeni kushindwa kwa Jina la Yesu.Mtaanguka Anguko kuu
Imeshakuwa ya kidini tena
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Mawazo ya kipumbavu kabisa.

Yaani umekaa hapo unasifia watu wa mataifa mengine eti mungu atawapigania, yaani hizi dini zimefsnya watu msitumie akili.

Anyway, kama huyo mungu atawasaidia wayahudi kushinda vita, alishindwa nini kumzuia Putin asianzishe hiyo vita?

Hao watu wote wa Ukraine ama wayahudi kama unavyowaita huyo mungu atawarudisha?

Stupidity at its highest level.
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Wishful thinking
 
Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi Vladimir Putin Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine , mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani.

Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa pia Ujerumani na Ufaransa kwa lengo la kufanikisha kuumaliza mzozo wa Ukraine na Urusi.

Bennett pia amezungumza na Rais wa Ukraine, Zelensky baada ya mazungumzo yake na Putin.

Baada ya hapo, Bennett alifunga safari mpaka Ujerumani na kuonana na Chancellor Olaf.
Putin Linda maslahi yako.... achana na Wazayuni
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
We jamaa unatuaibisha wanachama wa CCM.
 
Mwambieni huyo Goliath Putin kuwa kinaenda mkuta kilichomkuta Farao na Jeshi lake walipowafuatilia wayahudi wawaue,pia kitamkuta kilichomkuta Haman kwenye Biblia aliyetaka Kuua wayahudi wote ,pia kitamkuta kilichomkuta Hitler aliyetaka kumaliza wayahudi

Goliath Putin na Jeshi Lenu jiandaeni kushindwa kwa Jina la Yesu.Mtaanguka Anguko kuu
waislaeli matako tu
 
Putin Linda maslahi yako.... achana na Wazayuni
PUTIN hajui Urusi iliingia uchumi wa dunia Miaka 20 iliyopita ndio ikafunguka kuwa open economy na ikastawi ndani ya Miaka hii 20 Putin kuvamia wayahudi Ukraine uchumi umerudi enzi za mawe na ujima ndani ya siku 10 tu za vita kwa vikwazo vya uhakika karudisha uchumi wa Russia Miaka zaidi ya 20 ilipokuwepo!!

Kawarudisha Urusi ground zero economically na financially na itawachukua Miaka mingi mno kurudi kwenye kuwa connected again kwenye Global economy

Wanatakiwa warusi wamwuue Putin
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Pumbavu kama hizi ni za kuchinja mchana kweupee shenzi kabisaaa...myahudi hakuwah kuwa mtu mweupe hata kidogo..ukitaka kujua myahudi ni nani nenda ethiopia nenda kwa wanubi utawajua..mijitu meusi ni majinga sana...
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Huyo mungu atashuhudia mkiendelea kubamizwa yaani mnaleta udwanzi msitandikwe kisa kuna miungu yenu? Sasa mmeingia cha kike Putin atawabamiza hadi mkome huyo goliath unaemzungumzia ni yule wa kuchorwa kwenye biblia lakini Putin ni Putin huyu anaewagawia dozi
 
Back
Top Bottom