Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

Marekani haina tishio lolote kwa sasa wakae pembeni tu
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Endelea kuota na wayahudi wako...kama wana uwezo wa kushinda kwanini wanaenda kupiga magoti kwa Putin? Si wampige tu wamtoe
 
Mwambieni huyo Goliath Putin kuwa kinaenda mkuta kilichomkuta Farao na Jeshi lake walipowafuatilia wayahudi wawaue,pia kitamkuta kilichomkuta Haman kwenye Biblia aliyetaka Kuua wayahudi wote ,pia kitamkuta kilichomkuta Hitler aliyetaka kumaliza wayahudi

Goliath Putin na Jeshi Lenu jiandaeni kushindwa kwa Jina la Yesu.Mtaanguka Anguko kuu
Ww ni kichaa!! hakuna lingine zaid.
 
PUTIN hajui Urusi iliingia uchumi wa dunia Miaka 20 iliyopita ndio ikafunguka kuwa open economy na ikastawi ndani ya Miaka hii 20 Putin kuvamia wayahudi Ukraine uchumi umerudi enzi za mawe na ujima ndani ya siku 10 tu za vita kwa vikwazo vya uhakika karudisha uchumi wa Russia Miaka zaidi ya 20 ilipokuwepo!!

Kuwarudisha Urusi ground zero economically na financially na itawachukua Miaka mingi mno kurudi kwenye kuwa connected again kwenye Global economy

Wanatakiwa warusi wamwuue Putin
Hivi unatokea sayari ya gapi?
 
Toka nimeanza kuwajua wanaCCM wahajawahi kuniangusha kwenye kuongea ugoro . jambo lolote ukitaka liharibike na kuonekana pumba mshirikishe mwana Lumumba.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani.

Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa pia Ujerumani na Ufaransa kwa lengo la kufanikisha kuumaliza mzozo wa Ukraine na Urusi.

Bennett pia amezungumza na Rais wa Ukraine, Zelensky baada ya mazungumzo yake na Putin.

Baada ya hapo, Bennett alifunga safari mpaka Ujerumani na kuonana na Chancellor Olaf.
Asikose kuja kuonana na Amri jeshi wetu Samia Hassan,la sivyo hiyo vita itaenea hadi Brazil
 
Wakati kuna watanzania wenzetu huko Ukraine wanateseka huku wanazuiwa na viongoz wa Ukraine kutoka,huku Tanzania kuna watu wajinga na wapumbavu wamekalia upopoma wakushabikia vitu wasivyovijua...Nimekutukana tusi kubwa sana matako wewe
Ukraine iko kwa ajili ya raia wake , Wameomba msaada mmechuna basi pambanieni watu wenu , serikali yenu ipo kimya hlf mnakenua
 
Mada iliyopo mezani ni kati ya Ukraine na Russia yeye analeta ushabiki maandazi wa Israel kushinda vita. Hajui kuwa Putin ni myahudi? Hajui kuwa milima ya Ural iliyopo Russia ni milima mitakatifu?

Hajui Hitler aliua wayahudi zaidi ya million 6 kwenye kambi za mateso kwani Mungu hakuwepo kuwapigania? Mungu hapiganii ujinga hata kama Israel ndio kaufanya Mungu anapigania haki
Putin is an Israelite. Substantiate.
 
Vita ya Ukraine na Urusi ni kati ya wayahudi wa Ukraine na wasio wayahudi

Myahud Daudi Zelensnkyy Raisi wa Ukraine lazima utamshinda Goliathi Putin Raisi wa Urusi kwenye hii vita

Mungu ataonyesha muujiza utakaoiacha dunia hoi kwa kipigo atakachopata Goliathi Putin na Jeshi lake

Goliath Putin unakwenda kuanguka na jeshi lake kwa Jina la Yesu.

Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo aliyewapigania wayahudi karne nyingi awashindie dhidi ya huyo Goliath Putin
Hii pombe usinywe mkuu [emoji23]
 
Aisee!
 
Back
Top Bottom