Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

Toka nimeanza kuwajua wanaCCM wahajawahi kuniangusha kwenye kuongea ugoro . jambo lolote ukitaka liharibike na kuonekana pumba mshirikishe mwana Lumumba.
katika watu wasiojitambua wewe ni miongon.mambo ya siasa za ndani imeingiaje hapa
 
soma sana uachane na ujinga..Mungu alisema namnukuu "mshike sana Elimu usimuache aende zake" weye ni wazi umemuacha aende zake ...sikupi pole....
 
soma sana uachane na ujinga..Mungu alisema namnukuu "mshike sana Elimu usimuache aende zake" weye ni wazi umemuacha aende zake ...sikupi pole....
Wayahudi wana elimu yao na maandishi yao
Waweza soma kuanzia kindergarten hadi PhD kwa maandishi yao na Lugha yao na elimu yao iko juu mno

SIjasoma madrasa ya kiislamu ya kukariri na kuhifadhi aya za kuruani ambayo mashindano yake yanasimamiwa na Shehe Kishik mtumishi wa kuruani kuanzia tarehe 17 mwezi huu Dar es salaam zawadi ya kwanza milioni 20!!!
 
hata bongo tuna maandishi yetu...hili nalo hujui???
 
Tarehe 17 mashindano ya kusoma kuruani tarehe hiyo hiyo ni pasaka na pia ni simba vs orlando
 
Nature ichukue mkondo wake. Shetani aende zake.
putin: Vladimir Putin to undergo cancer treatment, handover power to loyalist Nikolai Patrushev: Reports - Times of India
 
Kwa niliyo soma na kuyaona. Natafakari wacha Putin awapitishe kwenye mfereji wa moto..
Ukraine wengi wabaguzi na wachochezi wa vita maeneo mengi duniani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…