Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za kijeshi za Marekani.
Rais wa Marekani, Donald Trump, awali alikadiria vita hivyo vinaweza kudumu kwa wiki nne hadi tano, lakini baadaye akaanza kutetea uwezekano wa vita vya muda mrefu na visivyo na muda maalum dhidi ya Iran. Hata hivyo, Netanyahu alikataa wazo la mzozo huo kudumu kwa miaka mingi kama ilivyokuwa kwa vita vingine vya eneo hilo.
“Nilisema vinaweza kuwa vya haraka na vya maamuzi. Huenda vikachukua muda kidogo, lakini havitadumu kwa miaka. Hivi si vita visivyo na mwisho,” Netanyahu alisema katika kipindi cha Hannity cha Fox News siku ya Jumatatu.
Ikiwa ni siku ya nne ya vita hiyo, milipuo inaendelea kusikika katika mji wa Tel Aviv huku mifumo ya ulinzi wa anga ikizuia makombora ya Iran yaliyokuwa yakielekezwa nchini humo.
Israel ilishambulia pia jengo linalohifadhi shirika la utangazaji la serikali ya Iran, IRIB, mjini Tehran, na kuwalenga wanamgambo wa Hezbollah katika miji mbalimbali nchini Lebanon.
=============
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said he expected the war against Iran was "not going to take years", as the conflict widened with Israel attacking Iran-backed Hezbollah targets in Lebanon and Iran hitting Gulf states that host U.S. bases.
U.S. President Donald Trump initially projected the war to last four to five weeks, but since sought to justify a broad, open-ended war on Iran.
Netanyahu rejected the idea of the conflict lasting years, like previous wars in the region.
"I said it could be quick and decisive. It may take some time, but it's not going to take years. It's not an endless war," Netanyahu said on Fox News' "Hannity" program on Monday.
With the war entering its fourth day on Tuesday, explosions shook buildings across Tel Aviv as air defenses intercepted incoming Iranian missiles.
Israel attacked the complex that houses Iran's state broadcaster IRIB in Tehran and targeted Hezbollah militants in towns across Lebanon.
Early on Tuesday, two drones, apparently from Iran, struck the U.S. embassy in Riyadh, causing minor damage and starting a fire, and at least eight more drones were intercepted before reaching the city, Saudi Arabia's Defense Ministry said.
Source: Reuters