Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

They cant change its message, so they decide to burn it

Kuna watu ni wajinga sana
 
Usifanye mzaha na maneno ya Mungu
Kwanza thibitisha Mungu yupo kabla hujasema haya maneno ya Mungu.

Kama Mungu hayupo, hawezi kuwa na maneno yake kayasema.

Thibitisha Mungu yupo.
 
They cant change its message, so they decide to burn it

Kuna watu ni wajinga sana
By now kila kitu kipo wazi hao wanaozuia kuchoma moto Quran ni wapumbavu kabisa, wala si wajinga tena.

Unalazimisha vioi mtu kuacha utamaduni wake afuate wako?

Wasaudi hawaruhusu wasio Waislamu kuingia Mecca.

Ulisikia Waswidi wanalazimisha kuingia Mecca?
 
They cant change its message, so they decide to burn it

Kuna watu ni wajinga sana
Ni wajinga sana,unachoma vitabu kila dakika,makampuni ya uchapishaji yanachapisha vipya na kusambazwa.Wanatoa pesa kununua,na kuwapa faida wafanyabiashara wa vitabu.Wangenunua na simu janja wakachoma,maana zina app za Qur'an .

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiki ni kichaa Allah kawapa hawa watu wa kuchoma Qur'an,unatoa pesa kununua kitabu,halafu unakichoma,kama sio ukichaa nini,anachoma pesa yake mwenyewe
Na bado mtu huyo huyo,anatembea na smartphone ina app ya Qur'an lakini haichomi moto.Ujinga kweli mzigo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Thibitisha Allah yupo.
 
Hayo ni makosa ya kibinadamu tu.
Biblia kuwa na makosa ya uchapishaji haiondoi ukweli kuwa ni kitabu kitakatifu
Kumbuka hicho kitabu kimeandikawa na wa


nadamu ambao nao pia wanaweza kukosea
Loo! Kumbe kimeandikwa na wanadamu.
 
Na wewe nikisema huna kichwa kilichojaa mavi, ndiyo inakuwa kichwa chako kimejaa mavi.

Vinginevyo, nisingejipa tabu ya kusema huna kichwa kilichojaa mavi.
Ysonyesha unaanza kuelewa lakini wajifanya huelewi.Umeshaelewa.Kuwa mavi hayakai kichwani,huko kusema kwako kisichokaa kilipo,ndi hivyo hivyo hakiwezi kuwepo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ahaa nyie ndio wale muliopata digree zenu ambazo hazina kazi yeyote lakin bado munajiona wanasayansi wakubwa na kujifanya kilakitu uthibitisho wa kisayansi wakati hiyo sayansi ni mwongozo uliopangwa na mwanadamu ili kusaidia kutatua changamoto zake ,Bc we subiri uthibitisho ila ipo siku utakuja kumtaja Mungu huku ukiwa haujaupata huo uthibitisho unaousubir .na kama wewe unajua zaidi na unategemea zaidi sayansi bc jizuilie kifo au ugonjwa usiumwe .
 
wewe si ndo unasema mungu hayupo? wala uchawi haupo? unatambua uwepo wa allah?
Watu kama hawa waliochupa mipaka subiri waumwe watamtaja Mungu bira kupata huo uthibitisho kama yupo nadhan pumzi na afya njema inawaadaa . Alikua Firauni mkaidi kuliko yeye na kuwalazimisha watu wamwite Mungu akuna Mungu mwingine ila yeye huku akiwa na mamlaka tele na ujeuri wake uliisha itakua huyo ! .waache wajifanye wanasayansi kila kitu wanataka uthibitisho
 
Nikweli 100%
 
Ndo ushangae na wewe mkuu, eti mtu anatishia kutoa sijui fatwa sijui data na zawadi juu Kwa atakayemuua mpinga Uislamu

Allah anashindwa nini kudeal naye personally!!

Ni kama Ile ya Salman Rushdie,

Allah anachesha kweli
Hakuna Mungu wa upendo anaweza kufurahi kuuuwawa kwa mtu kisa kachoma kitu inaanimate
 
Huu ndio ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…