Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
31 Yoashi akawaambia watu wote waliokuwa wakishindana naye, Je! Mtamtetea Baali? Au mtamwokoa ninyi? Yeye atakayemtetea na auawe hivi asubuhi; kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.Na asiinuke mtu, kama Baali ni MUNGU, na ajitetee.
Waamuzi 6:31