mdalamishi
Senior Member
- Apr 15, 2023
- 190
- 187
Nataka uamini uwepo wa Mungu na utaamini kwahiyohiyo mistari unayosema wwKwahyo kwa kuandika hako kamstari hapo wewe kijana msomi kabisa na mwerevu umeweza kuthibitisha kuwa Mungu yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka uamini uwepo wa Mungu na utaamini kwahiyohiyo mistari unayosema wwKwahyo kwa kuandika hako kamstari hapo wewe kijana msomi kabisa na mwerevu umeweza kuthibitisha kuwa Mungu yupo?
Hapa ndipo huwa mnachanganya.Kuna dalili ninyi zinathibitisha kua yupo muumba ila kwa wenye akili tu na mazingatio ndio wanajua haya . Ila watu wanataka uthibitisho kwa kutumia njia alizobuni mzungu kuchunguza uwepo wa mwenyezi Mungu huwez pata .wao wanasema Mungu hayupo wajizuilie kifo kupitia hiyo sayansi waliosoma je wanashindwaje?. Hiyo ni dalili moja wapo ya uwepo wa muumba mwenye nguvu .bira ya shaka kwake tutalejea ameshasema .hata hili mtu anashindwa kuwaza? Kwanini hakuna utofauti kati ya fukara na matajiri wote tunakufa!, Hivi hawa wanajua kama kuna watu hapa duniani wana pesa kiasi kwamba hata haziwezi kuisha , mpaka cha kununua hakuna lakin bado wanakufa sawa na wale ambao wanalala na njaa hawana hata uwezo wa kununua nusu ya unga! . wanashindwa kujiuliza kwa nini wanasayansi wameshindwa kuzuia kifo na wenye pesa je wanataka dalili gani tena au kiburi tu?.
Kwamba mstari wako huo ndio unathibitisha kuwa Mungu yupo, na kaumba ulimwengu huu?Ndio uthibitisho wakuumbwa mbingu na ardhi usiku na mchana au unataka kusema vimekuja tu wenyewe?
Logical non sequitur, hujathibitisha Mungu kaumba usiku na mchana, mbingu na ardhi.Ndio uthibitisho wakuumbwa mbingu na ardhi usiku na mchana au unataka kusema vimekuja tu wenyewe?
Firauni alijiita Mungu na alikua akibisha kuwa hakuna Mungu mwisho wa siku pumzi ilipokaribia kukata aliamini kuwa yupo Mungu akabaki tu kujutia .Kwamba mstari wako huo ndio unathibitisha kuwa Mungu yupo, na kaumba ulimwengu huu?
Yaani kuandika hivyo tu ndo uthibitisho?
Wewe unaishi kweli, au huenda nawasiliana na kisichokuwepo!?
Vipi mimi nkiandika hivi
"
Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote hayupo na wala hawezekani kuwepo.
"
Huu ntautumia kama uthibitisho kukuthibitishia kuwa mungu hawezekaniki kuwepo?
Kama hujaelewa nakupa mfano wa pili
Nkiandika maneno haya
"
mdalamishi ni mwanamke mrembo sana
"
Hapa nakuwa nmethibitisha kuwa mdalamishi ni mwanamke mrembo sana?
Ñdio Mungu yupoLogical non sequitur, hujathibitisha Mungu kaumba usiku na mchana, mbingu na ardhi.
Ukweli kwamba hivyo vipo, haumaanishi vumeumbwa na Mungu.
Inakubidi uthibitishe vimeumbwa na Mungu na huyo Mungu yupo kweli.
Quran imejaa contradictions, hivyo si kitabu cha Mungu.Inaonekana wewe ni mwanafunzi mvivu wa kujifunza mambo mapya.Kwa sisi waallimu inapokuwa njia moja haiko sawa kwako tunakufuata na ile uipendayo.Wengine ni kuimba imba.
Muhimu hapo juu hoja yako kuu ilikuwa ni kuwe eti Qur'an na sisi waislamu tumesema jua linatua kwenye matope na kwamba dunia ni tambarare.Tunachosema ni kuwa kwenye Qur'an jua limetajwa kwa namna kubwa zaidi kuliko kutua kwake ambako kunathibitisha kuwa dunia ni duara.Sheikh Zakir pale kakueleza kuwa Qur'an kwenye surat Zumar imetaja mwendo wa sayari,jua na mwezi na kwamba usiku na mchana vinazungukana kwenye njia yake na neno lililotumiwa la kiarabu ni kawwara ambalo linamaana ya kuzungukana kwa usiku na mchana kwenye duara na ambako neno hilo lisingekuwa na maana iwapo kulikuwa na fikra ya dunia kuwa ni tambarare.
Tulikuwa kwenye procedure ya kutafuta jibu,Hilo hakuna anayejua na tumepewa ahadi ya kujua huko mbele ya safari.Lakini kwa kutokujua mwanzo wake haifanyi kwamba tukanushe kuwepo kwake.Kwani kuwepo kwake kuna dalili nyingi tangu ndani ya viwiwili vyetu mpaka kwa vile vinavyotuzunguka.
Hujathibitisha, unahubiri tu.Ñdio Mungu yupo
Hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mfano wa kitu chochote
Wewe unanipa hoja ambazo ni generally tu kuwa jua limetajwa kwa ukubwaInaonekana wewe ni mwanafunzi mvivu wa kujifunza mambo mapya.Kwa sisi waallimu inapokuwa njia moja haiko sawa kwako tunakufuata na ile uipendayo.Wengine ni kuimba imba.
Muhimu hapo juu hoja yako kuu ilikuwa ni kuwe eti Qur'an na sisi waislamu tumesema jua linatua kwenye matope na kwamba dunia ni tambarare.Tunachosema ni kuwa kwenye Qur'an jua limetajwa kwa namna kubwa zaidi kuliko kutua kwake ambako kunathibitisha kuwa dunia ni duara.Sheikh Zakir pale kakueleza kuwa Qur'an kwenye surat Zumar imetaja mwendo wa sayari,jua na mwezi na kwamba usiku na mchana vinazungukana kwenye njia yake na neno lililotumiwa la kiarabu ni kawwara ambalo linamaana ya kuzungukana kwa usiku na mchana kwenye duara na ambako neno hilo lisingekuwa na maana iwapo kulikuwa na fikra ya dunia kuwa ni tambarare.
Kumbe hana nguvu yoyote. Maskini allahHafi na hafi ni Kwa sababu hayupo, angekuwepo asingeitaji kusidiwa kujitetea yeye mwenyewe angeshusha radi ikawaua hao wachomaji
Mkuu umeathiriwa na hadithi tu,Firauni alijiita Mungu na alikua akibisha kuwa hakuna Mungu mwisho wa siku pumzi ilipokaribia kukata aliamini kuwa yupo Mungu akabaki tu kujutia .
Dah Allah bhana bado hajaambiwa kwa kiarabu akisha ambiwa kwa lugha yake atajua nn la kifanya.Yani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.
Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Nathibitishaje Kwan huioni miujiza yake mfano nabii Mussa as alipoomba kumuona Mungu kilichomkuta unakijua Mungu hachezewiHujathibitisha, unahubiri tu.
Thibitisha Mungu yupo.
Mifano ni hiyo tu ya zamani? Hakuna mipya?Nathibitishaje Kwan huioni miujiza yake mfano nabii Mussa as alipoomba kumuona Mungu kilichomkuta unakijua Mungu hachezewi
Huyo nabii Musa unajuaje alifanya hivyo na hizo si hadithi za watu tu?Nathibitishaje Kwan huioni miujiza yake mfano nabii Mussa as alipoomba kumuona Mungu kilichomkuta unakijua Mungu hachezewi
Hiyo ya zamani yenyewe kahadithiwa na waliohadithiwa na waliohadithiwa, wamechakachua habari mara elfu ndiyo kaja kuipata yeye.Mifano ni hiyo tu ya zamani? Hakuna mipya?
Mungu awaonyeshe show wanaochoma quran kama uwezo huo anao.
Inawezekana ukawa umejua siri kuwa Allah ni nani!! Muhammad ndio anaye mjua Allah ni nani !! Ni siri yake mwenyewe!!! Hapo tunachopinga ni kitendo cha kuonesha Chuki kwa waislamu !!!! Ni muhimu kuheshimu imani yao kwa sababu wao wana nia ya dhati ya kumtafuta Na kumpata Mungu wa Kweli!! Quran itoke kwa Mungu au isitoke kwa Mungu ni muhimu kuheshimu,,,kitabu chao na ni muhimu kuwapenda waislamu wote na kuheshimu dini yqo!!!!Hapo ushawapangia, huna haki hiyo.
Waache.
Nimeukiza hiviiii.
Kwani Allah anashindwa kuwapiga na radi hapo hapi wanapochima Quran, tujue Allah yupo kweli na hapendi mchezo na kitabu chake?
Huoni Allah kushindwa kutuma hata ka radi tu ni ishara kwamba hayupo?
Inawezekana ukawa umejua siri kuwa Allah ni nani!! Muhammad ndio anaye mjua Allah ni nani !! Ni siri yake mwenyewe!!! Hapo tunachopinga ni kitendo cha kuonesha Chuki kwa waislamu !!!! Ni muhimu kuheshimu imani yao kwa sababu wao wana nia ya dhati ya kumtafuta Na kumpata Mungu wa Kweli!! Quran itoke kwa Mungu au isitoke kwa Mungu ni muhimu kuheshimu,,,kitabu chao na ni muhimu kuwapenda waislamu wote na kuheshimu dini yqo!!!!
Subiri karibuni utayaona hayo matokeo ya wanaochoma Quran tupohapahapaMifano ni hiyo tu ya zamani? Hakuna mipya?
Mungu awaonyeshe show wanaochoma quran kama uwezo huo anao.