Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Na asiinuke mtu, kama Baali ni MUNGU, na ajitetee.
31 Yoashi akawaambia watu wote waliokuwa wakishindana naye, Je! Mtamtetea Baali? Au mtamwokoa ninyi? Yeye atakayemtetea na auawe hivi asubuhi; kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.
Waamuzi 6:31
 
Hakuumba majini nawatu isipokua wamuabudu yeye"
hiyo Quran unayoidharau unayosema ni kitabu Cha kutungwa mbona wanaposomewa hao majini hukimbia nakuiogopa iweje ww binaadamu ulikua huna miujiza wowote uanze kunidharau
 
Swali langu kwako.
Kati ya Mungu na mwanadamu nani Mkuu?

Ikiwa Mungu ndiye Mkuu kwanini atetewe na mwanadsmu dhaifu?
 
Kwangu Mimi Mungu ni Mkuu, yeye ndiye hunitetea mimi.
Ukichoma biblia yake, ninamwambia ashughiloke na wewe, asipokushughulikia yeye mimi ni nani nikupige mawe?
 
Kipindi flan hapa bongo wakajichanganya wakamdanganya dogo flan kuwa ukikojolea Quran utakufa. Dogo akakikojolea bana kutaka kuhakiki huo uongo. Waliandamana kama mandez wakati ni wao wenyewe walisababisha.
Upumbavu mtupu.

Huyo Mungu angekuwapo kweli, wala asingehitaji kitabu kutuelewesha habari zake.

Angeziweka zote kwenye DNA kila mtu ajue bila kuhutaji tafsiri wala mgogoro wa kitamaduni.

Ukiona Mungu kaandikwa kwenye kitabu, hapo ujue unasoma siasa za watu tu.
 
Kwangu Mimi Mungu ni Mkuu, yeye ndiye hunitetea mimi.
Ukichoma biblia yake, ninamwambia ashughiloke na wewe, asipokushughulikia yeye mimi ni nani nikupige mawe?
Ni kama vile wanajua Mungu hayupo, ndiyo maana wanafanya kile wanachofikiri kilitakiwa kufanywa na Mungu.

Vinginevyo, kama ulivyosema, kama Mungu yupo kweli, wewe ni nani ujifanye kumtetea?
 
Wangeanzisha mchakato wa kuomba kibali Tanganyika. Huo mtanange wake basi.
 
Ni kama vike wanajua Mungu hayupo, ndiyo maana wanafanya kile wanachofikiri kilitakiwa kufanywa na Mungu.

Vinginevyo, kama ulivyosema, kama Mungu yupo kweli, wewe ni nani ujifanye kumtetea?
Kafanya kazi ambayo ingepaswa kufanywa na Mkuu ni utovu wa nidhami sana
 
Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha.
Huko Sweden Denmark, niseme tu Ulaya nzima imebubujikwa na Siasa kali za mrengo wa Kulia. Karibia mabunge yote Ulaya yana hawa wafianchi na mabaguzi. Hawawataki watu Waafrika au Watu wowote wale wasioukuwa na rangi ya ngozi kama za kwao. Huyo Waziri Mkuu anafanya pre-empt tu, anajua wananchi wake wanataka nini.

Cha ajabu siye huku ndio tunapigana masingi.
 
Bora walinde nchi zao tu.
Waafrika na Waarabu ni waharibifu sana wa amani.

Ona wamekaribishwa Ufaransa walivyoleta vurugu.
Mwarabu unamkaribisha anakulipua.
Hizi jamii mbili zibaki makwao tu waendelee kuuza bandari na ardhi zao
 
Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?

Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?

Ile Quran si makaratasi tu?

Au mnaabudu Quran?

Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Lakini sijahi kuona mtu akijitamba hadharani Kwa kuchoma agano la kale au agano jipya, Kwa nn upande wa pili hampendi kuheshimu dini za wenzenu , au ndio mafundisho ya kanisa
 
Swali langu kwako.
Kati ya Mungu na mwanadamu nani Mkuu?

Ikiwa Mungu ndiye Mkuu kwanini atetewe na mwanadsmu dhaifu?
Mungu ndio mkuu kwa Sababu yeye ndie anaetoa uhai na kufisha hivyo tunakemea vitendo kama hivyo vya kunidharau Qur'an Kwa Sababu Mungu akileta adhabu haichagui mfano mdogo tetemeko la ardhi
 
Upumbavu mtupu.

Huyo Mungu angekuwapo kweli, wala asingehitaji kitabu kutuelewesha habari zake.

Angeziweka zote kwenye DNA kila mtu ajue bila kuhutaji tafsiri wala mgogoro wa kitamaduni.

Ukiona Mungu kaandikwa kwenye kitabu, hapo ujue unasoma siasa za watu tu.
Mwenyezi Mungu yupo Chief. Ila yupo kwa yule anaemhitaji. Kama humhitaji wala hana shida. Kikubwa unachotakiwa kujua namna yake ya utendaji na mawazo yetu ni tofauti
 
Kwangu Mimi Mungu ni Mkuu, yeye ndiye hunitetea mimi.
Ukichoma biblia yake, ninamwambia ashughiloke na wewe, asipokushughulikia yeye mimi ni nani nikupige mawe?
Huko kuchoma kitabu,ndio tayari ni kupewa adhabu,ununue kitabu 50000 T shiligs ,halafu wakichoma,hapo wachoma pesa zako ulizotoa.Anayepata faidani yule aliyekuuzia.Biashara imemuendea vizuri.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni kama vike wanajua Mungu hayupo, ndiyo maana wanafanya kile wanachofikiri kilitakiwa kufanywa na Mungu.

Vinginevyo, kama ulivyosema, kama Mungu yupo kweli, wewe ni nani ujifanye kumtetea?
Ni kutumia akili tu.Hapo hao wanaochoma kitabu,tayari Mungu ameshawafanya wehu,mwenye akili nzima,hatoi shilingi 50000(214kr za Sweden)halafu uzichome,kama sio Mungu ameshafanya vitu vyake ni nani hapo,zaidi yake.Tumia akili.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huko Sweden Denmark, niseme tu Ulaya nzima imebubujikwa na Siasa kali za mrengo wa Kulia. Karibia mabunge yote Ulaya yana hawa wafianchi na mabaguzi. Hawawataki watu Waafrika au Watu wowote wale wasioukuwa na rangi ya ngozi kama za kwao. Huyo Waziri Mkuu anafanya pre-empt tu, anajua wananchi wake wanataka nini.

Cha ajabu siye huku ndio tunapigana masingi.
Ni kweli

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Bora walinde nchi zao tu.
Waafrika na Waarabu ni waharibifu sana wa amani.

Ona wamekaribishwa Ufaransa walivyoleta vurugu.
Mwarabu unamkaribisha anakulipua.
Hizi jamii mbili zibaki makwao tu waendelee kuuza bandari na ardhi zao
Mbona wao wazungu hawakai mwakwao wapo Afrika na Arabuni.Wazungu watulie pia mwakwao.

Back
Top Bottom