Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Anayesema hakuna Mungu,abadilishe mfumo wa kwenda choo kikubwa tu,kama qtaweza.Angalia Mungu alivyofundi,mtu akikosa choo kikbwa tu,tayari anahaha,kuwa amekosa choo,anatafuta matibabu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni ujingq mkubwa na upumbavu usio na mfano,mtu kununua kitabu 214 kr(!pesa ya Sweden),sawa na shiling 50000 Tz,halafu unakichoma moto.Ukinunua vitabu kimi ni sawa na laki tano,wakati nchi hiyo hiyo ya Sweden kuna wanaolala barabarani na kukosa chakula,ambaye ni Mswedish mwezake,anakwenda mnufaisha muarabu,anayechapisha vitabu na kuviuza kibiashara.Kweli ujinga ni mzigo.6

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tusubiri matokeo siku si nyingi itabaki history tu kuwa Kuna nchi ilikua inaitwa Sweden Mungu hajaribiwi.
 
Anayesema hakuna Mungu,abadilishe mfumo wa kwenda choo kikubwa tu,kama qtaweza.Angalia Mungu alivyofundi,mtu akikosa choo kikbwa tu,tayari anahaha,kuwa amekosa choo,anatafuta matibabu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuna dalili ninyi zinathibitisha kua yupo muumba ila kwa wenye akili tu na mazingatio ndio wanajua haya . Ila watu wanataka uthibitisho kwa kutumia njia alizobuni mzungu kuchunguza uwepo wa mwenyezi Mungu huwez pata .wao wanasema Mungu hayupo wajizuilie kifo kupitia hiyo sayansi waliosoma je wanashindwaje?. Hiyo ni dalili moja wapo ya uwepo wa muumba mwenye nguvu .bira ya shaka kwake tutalejea ameshasema .hata hili mtu anashindwa kuwaza? Kwanini hakuna utofauti kati ya fukara na matajiri wote tunakufa!, Hivi hawa wanajua kama kuna watu hapa duniani wana pesa kiasi kwamba hata haziwezi kuisha , mpaka cha kununua hakuna lakin bado wanakufa sawa na wale ambao wanalala na njaa hawana hata uwezo wa kununua nusu ya unga! . wanashindwa kujiuliza kwa nini wanasayansi wameshindwa kuzuia kifo na wenye pesa je wanataka dalili gani tena au kiburi tu?.
 
Huu ndio ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Waislamu hawapo Sweden pekee, wapo dunia nzima, na waswidish nao wapo wengi tu nje ya Sweden, kujenga uhasama na imani za watu ni tatizo, raia wa Sweden wasiyokuwa na hatia wanaweza kudhurika kwa ujinga wa mtu au baadhi ya watu wachache. Hakuna mtu mwenye haki ya kumpangia mtu mwingine katika himaya yake, lakini pia hakuna haki ya kuwaudhi, kuwakejeli na kuwashutumu baadhi ya watu wenye imani au mtazamo tofauti na wa kwako.
Huwenda kwako Msahafu si kitabu kitukufu lakini ni kitukufu kwa mwingine, waheshimu wenzako ili nawe uheshimike.
Kwa taarifa yako watu wanachoma msahafu na si Quran. Hajapatapo na hatatokea mtu wa kutoa mapungufu katika Quran.
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kukikuza au kukidogosha kitabu cha Quran, ni kitabu chenye kujitetea chenyewe, kilikuwepo na kipo halafu kitaendelea kuwepo hata baada ya wewe kuondoka duniani.
Allah hawezi kufa kwa binadamu kuchoma msahafu, bali wewe unaweza kuuwawa ikiwa utakichoma hicho kitabu, na usijaribu.
 
Umetahadharisha vizuri sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huo ni mfano tumia akili.ikiwa utanunua vitabu 100.mmoja,kukiwa na wengine kama wewe,wa idadi zaidinya yako wewe.Ni pesa ngapi imepotea.Huo ni mfano.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yeah ni mfano
Lakini hata ukiwa unatoa mfano hautakiwi kuboronga Hisabati
Kopi 100 za kitabu cha sh 50,000 ni shilingi 5,000,000 ambayo ni milioni 5 tu na sio milioni mia 5

Huo mfano mwingine wa mtu mmoja kununua vitabu 100 umeuleta sasahivi.
 
Kwani Quran yenu imeandikwa na nani 🤔🤔
Qur'an yetu iliandikwa na watu chini ya usimamizi wa Mtume swalaLlaahu alayhi wa sallam halafu akaja malaikia aliyekuwa akiishusha kutoka kwa Allah akamsikiliza mtume akiisoma akasema barabara. Halafu humo katika Qur'an yenyewe kuna ahadi ya kulindwa na mikono ya watu ndio maana tangu siku hiyo mpaka leo iko hivyo hivyo.Kuna aya hata Mtume mwenyewe hakujuwa maana zake akawacha hivyo hivyo,Na ziko nyingi tumejuwa sisi na nyingi bado hatujajuwa watajuwa wajukuu zetu lakini bado hatujabadilisha.Kwa maana hiyo japo mikono iliyoandika ni ya watu lakini ni maneno ya Allah mwenyewe.kwa sababu aliishusha yeye muda baada ya muda na akahakikisha ni vile vile alivyotaka kupitia malaika wake Jibril alayhi salaam.
Nashangaa nyinyi mnaandika kila siku na muandishi akiona kuna kitu hakielewi anaweka fikra zake kama ulivyoona pale juu nilipowawekea bayana.
 
Si Qur'an tuu hata Bible nayo niyakuteketezwa Kwa Moto mnoo yaani kiufupi vyote viwili ni vyakuchomwa Sana!!
 
"Quran yetu iliandikwa na watu"
JIBU ZURI SANA
 
Kipindi flan hapa bongo wakajichanganya wakamdanganya dogo flan kuwa ukikojolea Quran utakufa. Dogo akakikojolea bana kutaka kuhakiki huo uongo. Waliandamana kama mandez wakati ni wao wenyewe walisababisha.
 
Kipindi flan hapa bongo wakajichanganya wakamdanganya dogo flan kuwa ukikojolea Quran utakufa. Dogo akakikojolea bana kutaka kuhakiki huo uongo. Waliandamana kama mandez wakati ni wao wenyewe walisababisha.
Walichoma Hadi makanisa, hawakuishia kuandamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…