Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Hiyo kuchoma kitabu,alichonunua kwa 50,000 T shilings,ni adhabu pia,ununue kitu kwa pesa,halafu uchome,hapo anachoma pesa yake kwa ujinga.Kweli ujinga ni mzigo.Mungu ndio mkuu kwa Sababu yeye ndie anaetoa uhai na kufisha hivyo tunakemea vitendo kama hivyo vya kunidharau Qur'an Kwa Sababu Mungu akileta adhabu haichagui mfano mdogo tetemeko la ardhi
Huu ni ukweliMwenyezi Mungu yupo Chief. Ila yupo kwa yule anaemhitaji. Kama humhitaji wala hana shida. Kikubwa unachotakiwa kujua namna yake ya utendaji na mawazo yetu ni tofauti
Hakuna hoja hapoAhaa nyie ndio wale muliopata digree zenu ambazo hazina kazi yeyote lakin bado munajiona wanasayansi wakubwa na kujifanya kilakitu uthibitisho wa kisayansi wakati hiyo sayansi ni mwongozo uliopangwa na mwanadamu ili kusaidia kutatua changamoto zake ,Bc we subiri uthibitisho ila ipo siku utakuja kumtaja Mungu huku ukiwa haujaupata huo uthibitisho unaousubir .na kama wewe unajua zaidi na unategemea zaidi sayansi bc jizuilie kifo au ugonjwa usiumwe .
Utakuwa unakunwa wewe.Asishtushwe ye awape vibali
Yesu alishindwa nini kutoa radi wakati wanamtesa msalabaniYani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.
Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Hao ni wahafidhina wenye mrengo mkali wa kupinga uhamiaji.Hao sidhani kama ni wakristo. Hawana tofauti na El shaabab, ISIS na Al Qaeda
Hujaweza kutengua hoja nlizokupaKumbe unachokusudia kusema kuhusu hiyo aya ni kuwa waislamu wanaamini dunia ni kama mkeka.Ndio maana nimekwambia lazima ujifunze na uwasililize waislamu wenyewe ndipo utaelewa.Hebu sikiliza jawabu hapo halafu urudi tena.Vistari vyako hivyo huwezi kufika pahala.
Malizia maneno mpaka mwisho.Ni kitabu cha Mungu kwa watu lazima watu wahusike lakini angalia mlolongo wa uandishi wake na uhifadhi wake,ni muujiza usio na shaka."Quran yetu iliandikwa na watu"
JIBU ZURI SANA
The same applies to the BibleMalizia maneno mpaka mwisho.Ni kitabu cha Mungu kwa watu lazima watu wahusike lakini angalia mlolongo wa uandishi wake na uhifadhi wake,ni muujiza usio na shaka.
Kanuni ya kutengua hoja kwa hoja kwa njia ya maandishi umeitoa wapi.Au ni baada ya kuona ukweli na huwezi kujibu,Hujaweza kutengua hoja nlizokupa
Tengua hoja kwa hoja.
Mimi nimekueleza vizuri kwa maandishi na kauli halisia zinatoka kwangu.
Acha kuwasingizia wafia dini wenzio wa youtube.
Sawa ngoja nikubali wazo lako. (kwa mujibu wako)Vhochote unachokiona au kukisikia au kukigusa,ujuwe yupo aliyefanya kiwepo.
Ukiona gari,halafu ukamsikia mtu abasema hakuna aliyefanya iwepo,utajua wazi huo ni punguani.Na ndio hivyo ilivyo,!,kwa anayeona dunia,halafu aseme hakuna aliyeifanya iwepo,!huonekana punguani.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimechekaaaaaaaaaa!ati muujizaNimefurahi sana kusikia "idadi kubwa ya kuomba kibali", Ma shaa Allah, kumbe mpaka waombe kibali? Kitabi kipi kingine kukichoma mpaka kiombewe kibali?
Huo pekee ni muujiza wa Qur'an.
Bado hujaweza kunijibu hoja nlizokupa hapo juu, jibu hoja wewe habari ya kunipa video ya wafia dini inamidakika mingi huoni kuwa ni mateso hayo.Kanuni ya kutengua hoja kwa hoja kwa njia ya maandishi umeitoa wapi.Au ni baada ya kuona ukweli na huwezi kujibu,
Hapo mwanzo hatukuwekeana kanuni kuwa nikitoa hoja kwa maandishi rudisha kwa maandishi.Elewa jawabuj zinaweza kuwa kwa njia nyingi.pamoja na hivyo sikumbuki iwapo ulikuwa na hoja za maana kweli za kujibiwa hivyo unavyotaka.Hilo jibu moja kwa hali yako linakutosha kuelewa iwapo una akili kweli.
Kuna watu hawajui kama kuna aliyeumba hii dunia.Pumzi zisikuhadaeni mkamsahau alieumba dunia
Kwahyo kwa kuandika hako kamstari hapo wewe kijana msomi kabisa na mwerevu umeweza kuthibitisha kuwa Mungu yupo?Suratul ikhlas
1 .sema yeye ni Mwenyezi Mungu ni mmoja.
Hilo hakuna anayejua na tumepewa ahadi ya kujua huko mbele ya safari.Lakini kwa kutokujua mwanzo wake haifanyi kwamba tukanushe kuwepo kwake.Kwani kuwepo kwake kuna dalili nyingi tangu ndani ya viwiwili vyetu mpaka kwa vile vinavyotuzunguka.Sawa ngoja nikubali wazo lako. (kwa mujibu wako)
Tumeanza kujiuliza kuwa kama vitu vyote tunavyoviona lazima awepo aliyevifanya.
Huyo aliyevifanya tuvionavyo yeye kafanywa na nani?
Inaonekana wewe ni mwanafunzi mvivu wa kujifunza mambo mapya.Kwa sisi waallimu inapokuwa njia moja haiko sawa kwako tunakufuata na ile uipendayo.Wengine ni kuimba imba.Bado hujaweza kunijibu hoja nlizokupa hapo juu, jibu hoja wewe habari ya kunipa video ya wafia dini inamidakika mingi huoni kuwa ni mateso hayo.
Kwanini usinijibu kwa maneno hapa tu nikaona!?
Ama huna hoja tu unataka kukimbia mjadala!?
Acha janja janja wewe
Ndio uthibitisho wakuumbwa mbingu na ardhi usiku na mchana au unataka kusema vimekuja tu wenyewe?Kwahyo kwa kuandika hako kamstari hapo wewe kijana msomi kabisa na mwerevu umeweza kuthibitisha kuwa Mungu yupo?