mdalamishi
Senior Member
- Apr 15, 2023
- 190
- 187
Tumemumba mwanaadamu katika umbile lililo Bora kabisaHujathibitisha Allah yupo.
Na Waislamu wakiaminini ujinga, watu wengine wana haki ya kuwachukia kwa kuamini ujinga.
Bado hujathibitisha Mungu yupo.Tumemumba mwanaadamu katika umbile lililo Bora kabisa
Kisha tukamrudisha chini kuliko walio chini.
What a standing! Na huyo ndio Faizafoxy!Ma shaa Allah, Hii safi sana, wachome zote, Qur'an ipo vifuani mwetu, wakimaliza waanze kutuchoma na sisi, na tunavyozaliana kama panya wataweza kutumaliza?
Hakika shetani Qur'an inaposomwa inamchoma, sasa ugomvi wake mkuu ni Qur'an.
Maana Sweden huko Ukristo walisha upiga teke, kufanyana ndugu na ndugu kwao [oa, kufanyana wanaume kwa wanaume kwao poa, wao na wanyama kwao poa. Qur'an anawachoma mioyo yao. Siwashangai.
Nyie mlioniita, mnaisoma tafsiri ya Qur'an kwa Kiswahili? Au na nyie ni mashetani mnaogopa?
Qur'an imekuja kwa waltmwengu wote si kwa ajili ya faizaFoxy tu, mnalielewa hilo?
Isomeni hapa tafsiri ya Qur'an: Qur'ani Tukufu
Labda wapigwe na wenye dini yao ambao ni binadamu, sio MunguSubiri karibuni utayaona hayo matokeo ya wanaochoma Quran tupohapahapa
Labda wapigwe na wenye dini yao ambao ni binadamu, sio Mungu
Najua ww unajua na unaamini kuwa Mungu yupo ila kinachokuchanganya nikuwa alitokeaje au sioBado hujathibitisha Mungu yupo.
Unahubiri tu.
wala sio wakristo, ila ni waislam wanaotumwa na uturuki inayotaka kuzuia kwa siri sweden isiingie NATO kwa kigezo hicho. kuna watu pale wanachoma ni waislam kabisa na hata hawajui kiingereza wala kiswidish. uliza kati ya hao, ni wasweden wangapi wamechoma? yule wa kwanza alikuwa muislam mhamiaji toka Iraq hata lugha ya waswiden hajui.Hao sidhani kama ni wakristo. Hawana tofauti na El shaabab, ISIS na Al Qaeda
Nakama huamini jiulize hii dunia na vilivyomo vilikujaje nakumbuka kuwa huyo huyo Mungu ameumba majini naviumbe vyengineNajua ww unajua na unaamini kuwa Mungu yupo ila kinachokuchanganya nikuwa alitokeaje au sio
Unajuaje mimi najua na naamini Mungu yupo?Najua ww unajua na unaamini kuwa Mungu yupo ila kinachokuchanganya nikuwa alitokeaje au sio
Logical non sequitur.Nakama huamini jiulize hii dunia na vilivyomo vilikujaje nakumbuka kuwa huyo huyo Mungu ameumba majini naviumbe vyengine
Mtu na mali yake, mali yangu kwako ikiwa ni takataka, huna haki ya kuichoma moto, ingekuwa hivyo hata waziri wao asingeshughulika. Ila kiuTz tusikojali utu na utii wa sheria ndio utasema hivi.Hiyo ni haki yao ya kikatiba. Hao walioamua kufuata huo ujinga wanaumia kwa kuamua wenyewe. Hakuna mtu anayemchoma moto mtu.
Kwahiyo wachoma Kuran tu ndio wenyewe haki kwa mtazamo wako? Kama huna imani ni juu yako, ila huna haki ya kuingilia na kutumiza hisia za wengine kwa wanachoamini.Hii ni censorship, huna haki ya kuwaambia watu watumie uhuru gani na uhuru gani wasitumie.
Huna nguvu hiyo.
Do not flatter yourself.
Mtu na mali yake, mali yangu kwako ikiwa ni takataka, huna haki ya kuichoma moto, ingekuwa hivyo hata waziri wao asingeshughulika. Ila kiuTz tusikojali utu na utii wa sheria ndio utasema hivi.
Wapi nimesema wachoma Quran tu ndio wenye haki?Kwahiyo wachoma Kuran tu ndio wenyewe haki kwa mtazamo wako? Kama huna imani ni juu yako, ila huna haki ya kuingilia na kutumiza hisia za wengine kwa wanachoamini.
Angalau sasa mmeanza kuwa na akili, kwa namna mnakubali kuwa kukichoma hicho kitabu is nothing. Maana kwa muda mrefu sana mmeishi kwenye ujinga wa kutisha watu.Hiyo kuchoma kitabu,alichonunua kwa 50,000 T shilings,ni adhabu pia,ununue kitu kwa pesa,halafu uchome,hapo anachoma pesa yake kwa ujinga.Kweli ujinga ni mzigo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ili anayetamba asikike ni lazima anayetambiwa atikisww na kuonyesha kuumizwa, wenzenu mkiwachomea vitabu vyao huwa hawawapi attention ndiyo maana hamyasikii hayoLakini sijahi kuona mtu akijitamba hadharani Kwa kuchoma agano la kale au agano jipya, Kwa nn upande wa pili hampendi kuheshimu dini za wenzenu , au ndio mafundisho ya kanisa
Wewe unajisifu unaakili uliwahi kuizona?Logical non sequitur.
Kuwepo kwa dunia si lazima kuwe kumetokana na kuumbwa na Mungu.
Hapa ni kama unalazimisha baba yako ni 007 James Bond, ukiambiwa thibitisha, unasema obviously baba yako ni 007 James Bond, kwa sababu wewe hujajizaa mwenyewe.
Huelewi kwamba inawezekana ukawa hujajizaa wewe mwenyewe, na pia baba yako si 007 James Bond!
Hujathibitisha hata kama huyo Mungu yupo.
Ikiwa kama Mungu hayupo,Mungu kakufoanya unnye,wewe badilisha usinye.Hakuna hoja hapo
Vitisho ni silaha ya mwisho ya mjinga
Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo, unahubiri.
Kwamba sayansi ni mpango wa mwanadamu, Je hadithi za Mungu ni mpango wa nani?
Kushindwa kuzuia kifo na magonjwa hakuna uhusiano wowote katika kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Unaelewa kuwa hata uwepo wa kifo na magonjwa ni uthibitisho kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo, wala hawezekani kuwepo!?
Wewe mwenyewe hujui maana ya dini.Dini ni neno la kiarabu,maana yake ni mfumo wa maisha.Wewe pia ni mfia dini,mfia mfumo wa maisha unayoishi(ndio dini yako).Wewe mfia dini(mfumo wa maisha ulio nao).Hujaweza kutengua hoja nlizokupa
Tengua hoja kwa hoja.
Mimi nimekueleza vizuri kwa maandishi na kauli halisia zinatoka kwangu.
Acha kuwasingizia wafia dini wenzio wa youtube.