Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Havina maajabu kama walivyotuaminisha,eti ukivichoma inakuwa kichaa
2012 ilifanyika Mbagala, ikaamsha maandamano ambayo walitembezewa kibano hadi wakawa walokole.

Ukisoma kitabu cha Waamuzi unakutana na Gideon, Baba yake aliwaambia kuwa waache mungu wao ajitetee mwenyewe ila hakuonekana.

Mungu wetu hujitetea mwenyewe kuonesha ukuu wake
 
Na wao pia hawana haki ya kufanya hivyo, maana wanawaumiza walioamua kuufuata huo ujinga. Si kila mtu na maamuzi yake, uhuru wake?
 
Huyo Allah yupo kweli? Mbona haishushii Gharika au moto hiyo sweden
 
Wachome tu. Lakini Mungu haathiliki na uchomwaji huo wa Quran. Kwa ujumla wanachoma karatasi.

Lakini pia tangu awali tungechukulia kwamba vitabu vya Mungu ni karatasi kama karatasi nyingine wala wajinga hao wasingeona sifa kuchoma Quran.
 
Kwani kuchoma quran ni mpaka uwe na kibali?

Watu kadhaa wakichoma quran uislam ndo unaisha!?
 
Ndiyo (walikuambia hivyo) au ni mrengo wako juu ya imani za watu? Awepo au asiwepo, kila mtu ana uhuru na maamuzi yake.
Unauliza swali mara mbilimbiki, unataka jibu lako ulilo nalo mfukoni?

Nimekuuliza, kama Allah yupo, kwanini hawapatilizi hawa watu hapohapo tukajua yupo?

Hujajibu.

Huyo Allah hayupo, acheni upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…