Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Kwanini tuamini hivyo na ndicho kitabu pekee kinachozungumzia orbits za sayari na hata jua lenyewe kuizunguka galaxy ya milky way.Kitu ambacho kimechukua muda kujulikana
Kwamba hadi sasa duniani hakuna kitabu kinachoongelea orbits za sayari ila quran pekee?

Quran haijaelezea kwa usahihi kuhusu jua na sayari,
Kanza haijui hata jua linaenda wapi usiku

Unaweza kunionesha madai haya
orbits za sayari na hata jua lenyewe kuizunguka galaxy ya milky way
uliyoyaandika kama yalivyo!?
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea. 21:33
Sasa unathibitisha vipi kuwa hivyo vimeumbwa kweli na Allah!?
Angalia hapo chini Qur'an inavyolizungumzia jua na wenzake
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea. 21:33
Sasa hii ndo nini cha ajabu, kuna elimu gani hapo?

Hapo si hata mtoto wa chekechea si anaona hiko kitu?

Mohamad was illiterate person ndo maana hakujua mambo.

Na alielezea mambo ambayo kwasasa ni kichekesho kwa wanaojua, si kichekesho kwa wasojua sayansi ya anga kama wewe.

Eti kabisa mtu anakwambia ameumba nyota kama mapambo angani WTF!!
Mambo ya matope labda kuna sehemu tu hukufahamu hekima na lugha iliyotumika na maana iliyokusudiwa
Wewe umejuaje hili hata sijakuwekea uone?

Yaani ushajiandaa kubadilisha tafsiri
Haya embu tegua hapo

Qur'an 18
86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema. 86

Abu dawood 3991
images (15).jpeg
 
Hizi ulizoziorodhesha si contradictions bali ni upungufu wa elimu tu ulionao.Hata hivyo hizo ni chache unaweza ukatafuta jawabu ya mjoja baada ya nyengine. Contradictions hasa zipo kwenye biblia zaidi ya 50,000 hata ukijaribu kutafuta jawabu hutomaliza.


Hajakwambia mambo ya biblia,

Muktadha wa leo ni quran yako amekuonesha.

Ona sasa unadhan kuwa unataka kumkomesha wakati hata hiyo biblia haiamini.

Contradiction za bible tumezionesha vyakutosha humu JF, hakuna mtatuzi,

Tatua wewe leo contradiction za quran ambazo unasema ni upungufu wa elimu
 
Huyo wa kwanza anadai wanapakaziwa kuhusu dini ya fujo

Huyo wa pili anahimiza mawaiza yawe ni visasi na fujo

Hapo tyari wanapingana

Yaani Allah na waislam huwa wanapoteana

View attachment 2701147
Kitabu kinasema ni dini ya haki na amani.
Waumini wake ni watata, wako tayari kuua kwa kisingizio cha dini.

Huku kwetu tuna Mwaipopo mtukanaji..hiyo ni amani?
 
Tulimbiwa eti ukiichana, au kuikojolea Kuran sharti uwe kichaa!!..kumbe zilikuwa tungo za uongo tu.
Leo hii zinachomwa kwa wingi tena hadharani, na hakuna mtu anayepata ukichaa.
Yawezekana kama Afande sele angekufa basi asingekufa kwa mapenzi ya Mungu.
Yule mtoto aliyekojolea kuran kama angeuawa basi asingeuawa kwa mapenzi ya Mungu.
Wale wanaouawa ama kuteswa kwa namna yyt ile, eti tu kwa sababu wameharibu kuran, bila shaka Mungu yanayowakuta si kwa mapenzi ya Mungu.
Ikiwa Mungu anao uweza, ameumba vyote na wote waliomo ulimwenguni, basi anao uwezo wa kumfanya chochote na lolote yeyote amtakaye.Wewe ni nani ujifanye una machungu kuliko yeye.
Basi vinginevyo suala la uwepo wa Mungu ni tata, maana Anatetewa pale anapoonewa, anapiganiwa pale anapopigwa.
 
Ma shaa Allah, Hii safi sana, wachome zote, Qur'an ipo vifuani mwetu, wakimaliza waanze kutuchoma na sisi, na tunavyozaliana kama panya wataweza kutumaliza?


Hakika shetani Qur'an inaposomwa inamchoma, sasa ugomvi wake mkuu ni Qur'an.

Maana Sweden huko Ukristo walisha upiga teke, kufanyana ndugu na ndugu kwao [oa, kufanyana wanaume kwa wanaume kwao poa, wao na wanyama kwao poa. Qur'an anawachoma mioyo yao. Siwashangai.


Nyie mlioniita, mnaisoma tafsiri ya Qur'an kwa Kiswahili? Au na nyie ni mashetani mnaogopa?

Qur'an imekuja kwa waltmwengu wote si kwa ajili ya faizaFoxy tu, mnalielewa hilo?

Isomeni hapa tafsiri ya Qur'an: Qur'ani Tukufu
Noted Sanaa
Naunga mkono hoja yako wacha waichome tu Kisha watufate na cc
 
Hizi ulizoziorodhesha si contradictions bali ni upungufu wa elimu tu ulionao.Hata hivyo hizo ni chache unaweza ukatafuta jawabu ya mjoja baada ya nyengine. Contradictions hasa zipo kwenye biblia zaidi ya 50,000 hata ukijaribu kutafuta jawabu hutomaliza.




Unaweza kunisaidia Contradiction za Bible TUPATE kuziona na kusahihisha???????
 
Hizo hoja zako ndizo zinazothibitisha kuwa yeye Allah yupo.Yeye miongoni mwa majina na sifa zake ni kuwa ni mwenye hekima,mwenye huruma na rehma ni mpole na muadilifu na kuendelea.
Iwapo yeye ndiye muumbaji wa kila unachokiona na hizo radi anao uwezo wa kufanya hivyo haja itakapotokea na hapangiwi cha kufanya na haathiriwi na lawama.
Mambo ya hasira na visasi visivyo na mpango ni maumbile ya binadamu.Kuna waliotutangulia walifanya kufru kama hizo na hawakuweza kumdhuru na wala hawakuweza kuathiri kuendelea kwa utajo na dini anayoiridhia.
Wako pia wale waliozidi kwenye kufru zao aliamua kuwaonjesha kidogo adhabu zao.Hawa wanaofanya hivyo wanapewa muda tu wa kujitafakari na wakati wakifanya hivyo ndio wanaitangaza Qur'an na kuutangaza uislamu ndani ya nchi zao.
Kwa upande mwengine kwa hekima zake kuna matukio ambayo Allah hayavumilii lakini pia hatoi adhabu za hasira za papo kwa papo.Haya matukio ya kuchoma Qur'an hakuna anayechoma Qur'an akaishi kama zamani.Ataishi maisha wa wasi wasi na hofu mpaka mwisho.Hiyo pekee ni adhabu.
Watu waliotamka maneno ya ufedhuli kwa Allah kam hayo kuwa hayupo na kama yupo afanye jambo fulani kama unayosema wewe hawakuanza leo na pia si lazima tusome kwenye historia,wako wengi tumewashuhudia hata hapo Tanzania.
Kama hasira za kibinadamu na visasi ingekuwa ni sifa zake basi watu wanaomuasi kinyume na mafundisho yake wasingepata pa kuishi.Anachokifanya kila siku anawapelekea karibu ujumbe wake ili watanabahi na kujirekebisha kabla ya siku kila mara anayoikumbushia ambapo ndipo hasira zake atakapozieonesha kweli na ambapo ameonyo huko hakutokuwa na kubadili kitu.

Huyu hapa
IMG_3077.jpg
 
Kwanini tuamini hivyo na ndicho kitabu pekee kinachozungumzia orbits za sayari na hata jua lenyewe kuizunguka galaxy ya milky way.Kitu ambacho kimechukua muda kujulikana.
Mambo ya matope labda kuna sehemu tu hukufahamu hekima na lugha iliyotumika na maana iliyokusudiwa,.Angalia hapo chini Qur'an inavyolizungumzia jua na wenzake
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea. 21:33

Same old shit,kumbuka biblia imeendika yote hayo long way before,usisahau kurwni imakopy mengi kutoka uyahudi na ukristo.
 
Back
Top Bottom