Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Kwamba hadi sasa duniani hakuna kitabu kinachoongelea orbits za sayari ila quran pekee?Kwanini tuamini hivyo na ndicho kitabu pekee kinachozungumzia orbits za sayari na hata jua lenyewe kuizunguka galaxy ya milky way.Kitu ambacho kimechukua muda kujulikana
Quran haijaelezea kwa usahihi kuhusu jua na sayari,
Kanza haijui hata jua linaenda wapi usiku
Unaweza kunionesha madai haya
uliyoyaandika kama yalivyo!?orbits za sayari na hata jua lenyewe kuizunguka galaxy ya milky way
Sasa unathibitisha vipi kuwa hivyo vimeumbwa kweli na Allah!?Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea. 21:33
Sasa hii ndo nini cha ajabu, kuna elimu gani hapo?Angalia hapo chini Qur'an inavyolizungumzia jua na wenzake
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea. 21:33
Hapo si hata mtoto wa chekechea si anaona hiko kitu?
Mohamad was illiterate person ndo maana hakujua mambo.
Na alielezea mambo ambayo kwasasa ni kichekesho kwa wanaojua, si kichekesho kwa wasojua sayansi ya anga kama wewe.
Eti kabisa mtu anakwambia ameumba nyota kama mapambo angani WTF!!
Wewe umejuaje hili hata sijakuwekea uone?Mambo ya matope labda kuna sehemu tu hukufahamu hekima na lugha iliyotumika na maana iliyokusudiwa
Yaani ushajiandaa kubadilisha tafsiri
Haya embu tegua hapo
Qur'an 18
86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema. 86
Abu dawood 3991