Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

Boris alikuwa Hana tofauti na tinga tinga n don't care huwa anaenda tu bila tahadhari n kiongoz mzuri ila waingereza maadili ndokila kitu
Waingereza na ulimwengu uliostaarabika hawapendi uonevu,majungu na ubinafsi kama wanaouonyesha mabeberu wa Nato hata kujiona wamiliki wa dunia,hii haija tokea TU,uingereza,imetokea Ufaransa,Bulgaria, Ujerumani wakiendelea kuburuzwa na beberu mkuu marekani atakiona kama linavyo mnyemelea beberu mkuu mwenyewe 🤔🤔🤔
 
Jewish comminity ina lobbying Power ya nguvu sana UK. Ingekuwa mwingime hiyo kashfa tu angeachia ngazi, si unaona Boris ni kashfa tu. Lakini ngoja tuone
Bora useme Wahindi ndio wenye Power Uengereza kwa sasa
 
Acheni tuu jamani niana furaha mpaka natamani ulinzi

ngoja iende kwa Mangi nikachukue kale ka Vladmir Vodka nikanywe huku naangalia kale ka picha ka Vladmir Putin
 
Mawaziri wengi vidomodomo maponjoro.
Washkuru mungu hiyo demokrasia huko.
 
Wewe hata hujui kinachoendelea ndio shida ya kupuuza elimu dunia na kukalia makorokocho yasiyo weza kukusaidia ona sasa unavyoumbuka.
 
Russia, China and Iran moving troops to Latin America - next door to the US! Venezuela President, Maduro will host the military exercises in mid-August

This is known as "SNIPER FRONTIER"

Kushuba ngempela manje, iphaphu kumkhulu. They might just have military base there...[emoji91] https://t.co/UbRFhEIL78
 
Hapa kwetu ,tuna maviongozi manasiasa yanabwabwaja tu, akili kiduchuu .

Wee cheki Bungeni walivyo , wanapiga makofi kwenye mambo ya kijinga tu.

Na Hawa viti maalumu Ndo kabisaaa Vitunguu Maji .
Siasa zetu haziangalii status ya kielimu na uchumi kwa kils mgombea kasoro Uraisi pekee so tegemea siasa za kelele nyingi siziso na maana.
 

Kweli kabisa nguvu zao zipo kila mahali

Huyu Zahawi ni Mkurdi na mzaliwa wa Iraq
Imagine post yake na bado ni Chemical Engineer
Sasa Sisi hata police bila mbantu huwaoni natamani serikalini pia waanze kuwaondoa watu ubaguzi kwa kuwasajili na kuwapa kazi wazawa waarabu, Wasomali na hata kuwaalika Wahindi kwenye serikali zetu

Sioni tatizo lolote angalia kama wao wanafanya hivyo na ndio taifa kubwa na la zamani Kwanini sisi tushindwe

Huwa sioni mijadala kama hii inafanyika
Je ni jinsi tulivyokuzwa na kuiona serikali ikiwatenga?
 
Wewe hata hujui kinachoendelea ndio shida ya kupuuza elimu dunia na kukalia makorokocho yasiyo weza kukusaidia ona sasa unavyoumbuka.
Dah mtu anayeipa elimu nafasi ktk ulimwengu huu huwa namuona wa maana sana. 🤣🤣🤣 Hongera sana chief utazeeka vizuriii
 
We nato mweusi unateseka Sana .... Putin shikilia apo apo

Mimi likija suala la Russia ni Pro Russia haswa tena namuunga mkono Putin wala haihusiani lolote na Boris
Huu ni mjadala tofauti na ninajadili kinachoendelea

Usigeuze mada
 
Watakwambia kwani watanzania wenye sifa wameisha ?
 
Safi Sana bado yule Babu wa USA



na kichapo kiendelee Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…