Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

Waziri mkuu kasema mshahara ukiwa mkubwa nyongeza inakuwa kiduchu ila mshahara ukiwa mdogo nyongeza inakuwa kubwa.
 
Jambo la msingi wafanyakazi ni kutafuta vyanzo vingine vya mapato nje ya mshahara
 
Waziri mkuu kasema mshahara ukiwa mkubwa nyongeza inakuwa kiduchu ila mshahara ukiwa mdogo nyongeza inakuwa kubwa.
Unaelewa usichoelewa wewe kijanaa, walimu wameongezwa 4% sasa nchi hii walimu wapo kwenyekundi la mishahara mikubwa?? Hawa walimu tunaowaona njaa kali wanauza ubuyu, wanakopa kila mahali na kuishi kwa kupangisha vivyumba viwili!! Use common sense usidanganyike
 
Kweli hii ni Serikali ya kipekee duniani,Prime Minister anaongea kauli nyepesi kwa mambo mazito huku akipigiwa makofi na watu walionuna mioyo.
Hilo ongezeko ni la ajabu kweli.Japokuwa mimi siyo mwanahisabati lakini kutoa na kujumlisha hakunishindi kihivyo.Nimebahatika kuona pay slip moja hapa,Basic 1,820,000/= mwezi June&July Basic salary 1,865,000 na kwa hesabu ya kichwa ongezeko ni =Tshs 45,000;ambayo ni sawa 2.5% na kwenye take home July imeongezeka Tsh 26,000 hivi ambayo ni sawa na 62.4% ya 45,000 aliyoongezewa ikiwa makato ni 23.6%,je huyo mtu naye aishukuru serikali kwa nyongeza aliyoisubiri kwa miaka 5?
Hapo bado hajakutana na tozo za miamala,VAT ya 18% kwa kila manunuzi,kupanda kwa bei za bidhaa na huduma kwa karibia 60% miaka 5 iliyopita.Funga kazi ni pensheni ya mkupuo ya 33.3%.Wafanyakazi wa Tanzania ya Tanganyika asipokufa kwa njaa atakufa kwa stress.
 
🤣🤣🤣🤣CCM mbere kwa mbere
 
Maneno ya Marie Antoinette ktk kasri ya KiFalme nchini Ufaransa yalisababisha ghadhabu kubwa kupanda kwa raia wa Paris na kupelekea mapinduzi ktk miaka ya mwisho ya 1790's

Juzi kule Colombo Sri Lanka wafanyakazi wa sekta ya umma waliambiwa ili kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi na kipato wajiongeze kwa kuanzisha mashamba ili wajikimu, hii baadaye ilipelekea wananchi kuungana na kuiteka Ikulu walioipangisha kwa viongozi waliowachagua hivyo kusababisha viongozi hao kukimbia na kuachia uongozi.

HISTORIA
Paris, France
Marie-Antoinette was King Louis XVI’s wife and the Queen of France during the French Revolution. At some point around 1789, when being told that her starving subjects had no bread, Marie-Antoinette supposedly sniffed, ‘Qu’ils mangent de la brioche’— ‘Let Them Eat Cake’ in French. because brioche is more expensive than bread, the anecdote has been cited as an example of Marie-Antoinette’s obliviousness to ordinary people’s conditions and daily lives in France. With that insensitive remark, the Queen became a hated symbol of the decadent monarchy and fueled the revolution that would cause her to (literally) lose her head in 1793)

https://www.aljazeera.com › news
Crisis-hit Sri Lanka allows gov't workers 4-day week to grow food
Colombo Srilanka
14 Jun 2022 — The nation asks public sector employees to take off on Fridays to grow crops in back yards to avoid a food shortage
 
Mkuu, Huo wakati hautafika bila kudai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…