Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 728
- 2,032
Utashitakiwa na jamhuri kwa kosa la kupost imoji za kucheka (ishara ya kucheka au kufurahia) ndani ya siku 21 za maombolezo.Was this necessary???
Yeuwii taifa limeachwa uchi kitaifa na kimataifa kwa kutaka kutamba eti msiba wetu kuwa umefana kweri-kweri[emoji1787][emoji1787]
Hayo ni mawazo yako! Ungekua na akili nzuri ungefanya just a small research kwa kupitia mitandao mbalimbali ili uone hao viewers wanamsemaje hasa huko youtube.Nikusahihishe kidogo mkuu ,Magufuli alivutia watu wengi duniani kutokana na misimamo ya kijinga juu ya korona ikiwa ni pamoja na kutangaza kwamba nchi yake haina korona,sasa kilichovuta wengi ni baada ya kuondolewa na hyohyo korona ko lazima watazamaji wawe wengi lakini sio nusu ya dunia
RIP Magu
Kumbe ndiyk wewe mhuni uliyeenda kuwatisha ulikuwa unatafutwa sasa umepatikana.Na wale waliolazimishwa kufunga maduka yao kwa lazima Kariakoo nao wamehesabika ama
Kama population ni 8b inakuwaje 3.9b ni zaidi ya 50%
Aya mkuu,mi tabia ya kuimba mapambio sinaga penye ukwel nasemaHayo ni mawazo yako! Ungekua na akili nzuri ungefanya just a small research kwa kupitia mitandao mbalimbali ili uone hao viewers wanamsemaje hasa huko youtube.
kwa idadi hiyo ni uongo maana huku Kijijini kwetu Mwitikira Dodoma kuna TV km 10 na walioangalia stesheni hizo huenda wakawa wa5 kila TV kwa hiyo jumla ni watu 50, stesheni wakibadilibadili ni kama 4, Star Tv, TBC, Clouds, Chanel 10 mashine yao inaweza kusoma viwer (waangaliaji) ni 200 mara vijiji 200 Tanzania nzima bado haifiki kwani si Nchi zote wanaangalia.Hata kama lakini majibu ya twakwimu yasingeweza kuletwa mapema hivi maana shughuli bado inaendelea,Kama takwimu za watu waliofuatilia duniani kote jana ni wengi kiasi hiko? Mbona hapa hapa nyumbani uchaguzi wa jimbo limoja unaweza chukua saa 72 bila kuwa na matokeo yake. ? Kuna uwezekano wa waziri kupika takwimu .
Watakuwa ndio wale wakalimanWashauri na waandishi wa speech za Mh...mjiheshimu
Huyu mtu ataachwa adanganye Taifa hadi lini?Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni...