Na waelewe hiyo approach imekuwa ikitumika muda mrefu kwa events mbalimbali, siyo kwa Magufuli tu.kuna watu wanashindwa kuelewa anaposema billion 3.9 wamefuatilia matangazo ipo hivi BBC wanao idadi ya watu wanaosikiliza matangazo yao,DW na redio zingine. Ukianza kujumlisha idadi ya watu wanaofuatilia na kusikiliza BBC, DW, VOA Na vyombo vingine vya habari dunia waliotangaza habari ya kifo inaleta idadi hiyo
Kama alidanganya msikitini, Hapa tutamwamini vipi.Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni..
Kwa mimi navyomfahamu Waziri Mkuu ni Mtu Muongo muongoNilijua nimesikia peke yangu...alibadilisha akasema kasoro kadhaa ifike milioni 4.
Mdomo kuteleza ni Jambo la kawaida, tuwe wapole
Mnooooooooo hasa! 😀 Yaamo nusu ya dunia wametizama mazishi ya JPM! Kuliko World cupHuyu mtu ni mwongo mnooooo
Wewe unajielewa kitu gani?Huu ujinga peleka huko huko kwa wajinga wenzako mkaelimishane. Hapa kuna watu wenye kujielewa.
Duh akili za BAVICHA hizi!Siku ZOTE mnaeneza propaganda humu kwamba kenya ni adui zenu wanatumia na mabeberu kuwahujumu Leo mnataka kutumia chanzo Cha habari Cha mkenya?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Source ni mbili tu zilizoonyeshwa kwenye hii nyuzi na zote ni twitter kutoka kwenye vyanzo ambavyo havijawahi kutoa takwimu zozote zile.Duh akili za BAVICHA hizi!
Ndiyo mana makamanda wenzenu wanaanzisha thread za uongo kila wakati sababu wanajua watawaokota tu. Kwa hiyo yule kamanda aliyanzisha thread kwamba source ni mkenya ameshateka akili zenu!!
Soma huu uzi mbona source zimeonyeshwa vizuri tu, tena zaidi ya moja, na zote siyo za Afrika!
Duh, nyie mateka wa BAVICHA hakuna namna ya kuwasaidia. Kwa hiyo ulishatekwa na Yule kamanda mwenzio? Jiongeze basi hata akitunga uongo ukitumia akili kidogo tu utagundua. Hata kwa huyo Jamaa aliyem quote mkenya, mgeenda mbali zaidi ku verify source alizozionyesha, mgeona ukweli.Tumeshaenda na kuna uzi humu jamii forums unamchambua huyo mkenya mwenye hiyo akaunti. Akaunti inamilikiwa na mtu mmoja tu followers 400+ not verified haina taarifa zozote za maana kwenye information technology bado unataka tuiamini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh, nyie mateka wa BAVICHA hakuna namna ya kuwasaidia. Kwa hiyo ulishatekwa na Yule kamanda mwenzio? Jiongeze basi hata akitunga uongo ukitumia akili kidogo tu utagundua. Hata kwa huyo Jamaa aliyem quote mkenya, mgeenda mbali zaidi ku verify source alizozionyesha, mgeona ukweli.
Hawa jamaa kwakuwa wanaujua uwezo wa kufiri kwa % kubwa ya wananchi basi wanaamua tu kuwalisha matango pori dah noma sana, hii ni kamba ya mwaka😂😂😂Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
“Tunavishukuru vyombo vya habari vimekuwa na sisi toka siku ya kwanza kuwahabarisha Watanzania, hata tukio hili mnalirusha duniani kote. Mpaka jana jioni tunazo taarifa watu waliofuatilia tukio la kuaga kitaifa jana Dodoma ni zaidi ya watu bilioni 3.9” - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Ukiidanganya kwenye ugonjwa, lolote usemalo kea sasa haliaminiki.Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
“Tunavishukuru vyombo vya habari vimekuwa na sisi toka siku ya kwanza kuwahabarisha Watanzania, hata tukio hili mnalirusha duniani kote. Mpaka jana jioni tunazo taarifa watu waliofuatilia tukio la kuaga kitaifa jana Dodoma ni zaidi ya watu bilioni 3.9” - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Majaliwa ni mwongo, au kadanganywa. Idadi ya watu duniani ni 8bn. Nusu yake ni watoto. Idadi nyingine kubwa ni maskini wa kutupwa, tv wanaisikia. Inayobaki ni ndogo ya alio dai 4m. Kwa maana hiyo tuamini watu wazima wote duniani wamefatilia tukio hili.Nimeshtuka balaa ....
Taarifa nyingi sana za uongo.Kwanini mkuu maana ana taarifa nyingi sana huenda ni kweli.
Viongozi wa Tanzania wapigie salute tu, yatokayo vinywaji mwao yapuuze.Event kubwa(Category ya mazishi) duniani iliyovunja rekodi ni ya Michael jackson(Memorial Service) ,ilikuwa na viewers bilioni 2.
Nilikuwa namwamini, baada ya uongo wa afya ya jpm, nimemponda sana.Kama bado Mnamwamini majaliwa shauri yenu.