Mh......!! Haya sawaAkiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Vyombo ambavyo havina jina?Habari hiyo imeripotiwa kwanza na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani na sio Tanzania.
Halafu yana hojaYaani majitu mabishi sana
Hivi waziri wetu anaweza kutofautisha kati ya Billion na Milioni?Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Vyombo vipi hivyo??acheni propaganda za kitoto!!!watu bilioni 3.9?!!!!Habari hiyo imeripotiwa kwanza na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani na sio Tanzania.
Hii ni kawaida kwa Rais yoyote mwanachama akivuta.Ni kweli fuatilieni hiyo taarifa.View attachment 1732459
Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Yani ni mwongo kweli kweli... na hana hata haya..Huyu mtu ni mwongo mnooooo
Kwa hivyo Magufuli ametoa ngoma droo na Michael Jackson😀😀😀Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
sio kuteleza,amezoea uongo huyu bwana mashavuNilijua nimesikia peke yangu...alibadilisha akasema kasoro kadhaa ifike milioni 4.
Mdomo kuteleza ni Jambo la kawaida, tuwe wapole
sisi kabla hatujala tunatumia akili tunahoji. nyinyi mnachukua kama ilivyo kama mizogaYaani majitu mabishi sana
Leo ndio man of the matchMajaliwa apuuzwe
Huyu mtu ni mwongo mnooooo
Takwimu hizi itakuwa zimetolewa na NEC! Huu ni ushindi mkubwa kwa CCM.Swala ni mzee katuachaje...