King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mgongano wa mawazo yes inatokea.Ni kweli uwezo wa mawazo kulandana ni mkubwa sana katika comments, Humu kuna dada anaitwa HS akicomment kitu mi nikacomment baadae nakuta nimecomment alichocomment yeye mwanzo.
Hahahaha. Utamfanyaje hahahaha!Mara ya pili hii kudanganya umma , namhisabia tu huyu jamaa
Inawezekana kweli mkuu, tupate kujua tu waliangalizia channel zipi live, maana BBC, Al Jazeera na zingine hakuna live, labda tbc 1 3.5 bil inamaana uchukue india nzima, China nzima na Africa nzima kwa pamoja.Event kubwa(Category ya mazishi) duniani iliyovunja rekodi ni ya Michael jackson(Memorial Service) ,ilikuwa na viewers bilioni 2.
Yaani nusu ya dunia[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji1550][emoji2839][emoji2839][emoji2839]Uongo huu mm siamini
Hii ni hapa ya juzi. Jemedari amevutia watu wengi duniani kwa uchapakazi wake! Haya pingana na hawa mabeberu!!Hivi Majaliwa anajua idadi ya watu duniani ni around 8b? anamaanisha zaidi ya 50% walifuatilia? Au alimaanisha 39milioni?
Upuuzi huu, wamejuaje na wakat tulikuwa bize kutafakari namna maisha yataenda chini ya rais mpya
Msimamo wa Hayati JPM dhidi ya Corona, ndiyo umetufanya Tanzania kujulikana Dunia nzima kwa muda mfupi sana,japo tulishaanza kujulikana kidogo!!Mkuu Tanzania haifahamiki wala haina umaarufu wowote Duniani
Acha kulisha watu matango pori aiseee, followers 400 sio[emoji16][emoji1787][emoji1787]
Akina lema tu ndio watapinga na hili
Hivi akili hizi huwa mnatoa wapi,yaani msimamo wa kishirikina ndio ufanye dunia itujue,kunywa marimao na matangawizi kama wapumbavu,kujifukiza na kupiga nyungu,kweli uwendawazimu ni kipaji[emoji16]Msimamo wa Hayati JPM dhidi ya Corona, ndiyo umetufanya Tanzania kujulikana Dunia nzima kwa muda mfupi sana,japo tulishaanza kujulikana kidogo!!
Haya sawa Foreign Intelligence wamemtangazaAkina lema tu ndio watapinga na hili
Acha wivu mpk kwa marehemu,Tafuta verified Twitter account.Haya sawa Foreign Intelligence wamemtangazaView attachment 1732571
Una fikra za kitumwa,umeharibiwa na Mbeligiji!!Hivi akili hizi huwa mnatoa wapi,yaani msimamo wa kishirikina ndio ufanye dunia itujue,kunywa marimao na matangawizi kama wapumbavu,kujifukiza na kupiga nyungu,kweli uwendawazimu ni kipaji[emoji16]
Uongo huu mm siamini
Uwe na akili wakati mwingine,mtu mzima kichwa kimejaa uji,hii habari imewekwa na account ambayo inaaminika ndio imetoa habari hii, nimescreen shot hiyo twitter unaniambia nitafute verified account,una akili nzuri kweli?.hebu wewe nitafutie hiyo verified account uweke hapa,upunguze ujinga eti wivu,unaujua wivu wewe.Acha wivu mpk kwa marehemu,Tafuta verified Twitter account.