Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

Kura Za Serikali Ya Mitaa Lazima Uende Ukatubu Ushindi 99%
 
Mwizi wa kura na fisadi mkubwa kaenda huko anakoamini ndiko makao makuu ya Mungu wake, kumuombea mama mkwe wake aliyemtumia atekeleze uhalifu huo
 
Yaani mtu asimamie hovyo - uchaguzi - kasimamia wizi wa kura..halafu anaenda kumdhikaki Mungu..nyie kuna watu Mungu atawanyoosha sio mchezo..
Cha pili binadamu ni mtumwa kwa mtu anayempa ugali - imagine anasema amemuombea Rais Samia - [ hatukatai] - but why haanzi kusema nimewaombea Baba, Mama yangu,mke,watoto wangu- familia yangu.[family first- ndo watu wetu wa karibu kupita kawaida]....duuh...kuna mambo utumwa kabisa...Kama vipi angekausha tuasiseme kaomba nini- watu tunatofautiana sana
 
Tusubiri tuone atakaporudi. Ni amejipiga au amepigwa na mapaparazi!?.
 
Huyu jamaa ana dini au ni abrakadabra tu? Tujuavyo hapo ni sehemu ya utalii tu wala hakuna utukufu wa Mungu
 
Huyo angefia huko huko mshenzi mkubwa huyo
ukisoma comments za wachangiaji hapa unaona wazi kwamba ipo chuki kubwa sana kati ya Watawala na wananchi. chuki ni kubwa,
 
ukisoma comments za wachangiaji hapa unaona wazi kwamba ipo chuki kubwa sana kati ya Watawala na wananchi. chuki ni kubwa,
Na watawala ndiyo wanaitengeneza chuki hii kwa kutotenda haki.
 
Hahahah mkuu ni siasa tu au kuna mambo binafsi mmekosana.
Ule ushenzi aliofanya November 2024 otherwise sina chuki naye binafsi kwanza simfahamu zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari. Lolote baya limkute. Ushenzi aliosimamia umesababisha watu kuuliwa na wengine kupotezwa.
 
Utapeli mtupu.

Huyo mungu mnayemuomba ndio huyo anawafundisha kuua watu na kuiba kura?
 
Mambo aliyofanya uchaguzi wa serekali za mitaa bado ana ujasiri wa kwenda Mecca !.

Kuanzia leo nachukulia kwenda Mecca sawa na kwenda Serengeti.
 
atakuwa akiitwa Alhaj Mchengerwa, sounds very good,
 
Ule ushenzi aliofanya November 2024 otherwise sina chuki naye binafsi kwanza simfahamu zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari. Lolote baya limkute. Ushenzi aliosimamia umesababisha watu kuuliwa na wengine kupotezwa.
Mhhh haya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ