Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

You are very very stupid. Nasty
You should also go and rot, where you belong, just as your provincial mentor.
Leave smart projects for the smart minded and forward thinking fellas, not backward provincial twits as you pitiful lot.
 
 
Hatuwezi kuishi kwa kuogopa maendeleo.
Biashara ni give and take.
Hayo maendeleo unategemea uletewe!? Historia ni mwalimu mzuri. Huko kwenye migodi madini yanasombwa bure, hiyo nguvu ya kujadiliana na wachina ili upate fair deal unaitoa wapi!? Nguvu ambayo Kenya, Angoka, Na Zambia wameikosa. Mhula wa tatu wa vasco da gama wa msoga huu.
 
Huyo hajielewi
 
Kwa nini hiyo bandari isijengwe pale Nyamirembe Chato
 
Wewe uliyaona hayo masharti? Au umekariri maneno ya yule chizi jiwe? Jiwe alisema vile ili fedha zote ziende kijijini kwake Chato. Mpuuzi sana yule
 
Kazi Iendelee
Kazi Iendelee
Kazi Iendelee
Kazi Iendelee
Kazi Iendeleeeeeeeeeeeeee🔥🔥💪💪

#SiempreJMT
 
Mama piga chini Busisi.
Mama usikubali kukipatia k ijiji cha Chato hadhi ya kuwa mkoa. Usithubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…