Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

Open up your mind and think big!!
All areas to Bagamoyo will expand in business exponentially.
Just compare, utanunua kiwanja Chato kwa vile uwanja mkubwa umejengwa huko?
Mkuu tafuta kitabu kinaitwa think big kimeandikwa na ben, utaelewa nlichosema hapo juu... Is not enough to open mind only but to think big y bagamoyo??
 
Maagizo ya Rais na siyo hitaji la wananchi
 
Nyinyi mngeachiwa hii nchi mngeizamisha, muda wote JK amekukaa Kooni.... Huyo mzee wako Mwendazake na miradi yake yakibabe ambayo haikuwa na baraka za kitaifa hakuna hata Mmoja ulioanza kazi mmebaki kulialia tu humu.. Huo mradi utatekelexeka na utaenda kujadiliwa bungeni kila mwananchi hafahamu kinagaubaga kilichomo ndio mtafunga midomo yenu... Mtu kajenga uwanja umelala tu chato huko hamna hata ndege zinaotua na ameipa kampuni ya kwake.....%##$%#*
 
Maanake tunaishi kwa hisani za watawala?
 
Dikteta alikuwa mpigaji mzuri sn
 
Dikteta alikuwa mpigaji mzuri sn
Wanajifanya hawaoni mtu mpaka anatumia kampuni yake kujenga, yaani mzee kafanya faulo kibao katika ukandarasi na upendeleo mwingine wa wazi halafu wanajitoa akili kanakwamba alikuwa mwema sana wakati alikuwa mpigaji aliotukuka mwenye ulaghai wa maneno.
 
Aliona watanzania ni wajinga sn
 
Usiwaamini hawa watu.

Sawa amezipitia, swali ni je, ana utaalamu wa mikataba na maswali mengine ya kitaalamu?

Kama ambavyo Mbowe sio gaidi, na sisi wananchi sio wajinga.
Mkataba wa ujenzi wa kiwanja cha ndege kimataifa Chato uliupitia lini?
 
Open up your mind and think big!!
All areas to Bagamoyo will expand in business exponentially.
Just compare, utanunua kiwanja Chato kwa vile uwanja mkubwa umejengwa huko?
Why Bagamoyo?

Bandari ya Dar Es Salaam haifanyi kazi?
 
Tatizo lenu mnatabia ya kutofuatilia how things evolve au hata kusikiliza yote yaliyoongelewa.

Waziri katoa maelezo na majibu ya kina sana kwenye hoja za msingi.

Na hata yeye kasema bandari, logistic and industrial park ni independent constituents' za mkataba

Kitu hiko hiko mchina aligomea awali anataka vyote vitatu viwe sehemu ya mkataba wa bandari na serikali ilikuwa na hoja za msingi kukataa hilo.

Sasa badala ya kuelezea what has changed on government position, unakuja na hadithi za chato; what has that got to do na bandari ya Bagamoyo.
 
Ni uwanja wa Watanzania au unamilikiwa kwanza na China kwa miaka 99? na Je huo uwanja umezuia JNIA kuendelea kufanya kazi?
Mtu unafikiria mambo ya mchicha wa shambani badala ya kufikiria mambo ya biashara!
 
Mtu unafikiria mambo ya mchicha wa shambani badala ya kufikiria mambo ya biashara!
Bila mchicha huwezi kuishi

Mchicha una faida zaidi mwilini kuliko nyama

Biashara za kuuza sehemu ya nchi yetu kwa wachina hatutaki na kitanuka msipokuwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…