Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Tangu lini mradi wenye uhakika wa maendeleo ikawa ni kosa.Huwezi kuhalalisha kosa kwa kufanya kosa mkuu..
Hapo wala huhitaji feasibility study.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini mradi wenye uhakika wa maendeleo ikawa ni kosa.Huwezi kuhalalisha kosa kwa kufanya kosa mkuu..
Open up your mind and think big!!Y bagamoyo?? What is the huge issue in bagamoyo? Something hidden agenda..
Mkuu tafuta kitabu kinaitwa think big kimeandikwa na ben, utaelewa nlichosema hapo juu... Is not enough to open mind only but to think big y bagamoyo??Open up your mind and think big!!
All areas to Bagamoyo will expand in business exponentially.
Just compare, utanunua kiwanja Chato kwa vile uwanja mkubwa umejengwa huko?
Maagizo ya Rais na siyo hitaji la wananchiWaziri wa uwekezaji Mr Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao.
Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote.
Chanzo: ITV habari
Nyinyi mngeachiwa hii nchi mngeizamisha, muda wote JK amekukaa Kooni.... Huyo mzee wako Mwendazake na miradi yake yakibabe ambayo haikuwa na baraka za kitaifa hakuna hata Mmoja ulioanza kazi mmebaki kulialia tu humu.. Huo mradi utatekelexeka na utaenda kujadiliwa bungeni kila mwananchi hafahamu kinagaubaga kilichomo ndio mtafunga midomo yenu... Mtu kajenga uwanja umelala tu chato huko hamna hata ndege zinaotua na ameipa kampuni ya kwake.....%##$%#*Waziri katoa maelezo mazuri sana kwenye kujibu maswali asa kwenye finance, be it alianza na blah blah za mambo ya economic benefit ambazo tushaimbiwa sana.
Bila ya maswali ya waandishi key information asingeelezea, binafsi nimependa majibu yake yana kina. I
Swala la msingi lipo pale pale maelezo yake na ya Kakoko hayana tofauti kwenye terms za payback period ya mkataba kwa kutumia hizo hizo economic models zao.
Apparently payback period ni between 15-30 years the latter being worst case scenario. Wachina wanataka kuendesha bandari for 99 or is it 66 years regardless of when they get their investment and profit back.
Na upande wa logistic na industry Park serikali ilikuwa aina shida mchina ata kesho akitaka kujenga aende alishaambiwa subject to Tanzania invest laws.
Hizo ndio zilikuwa conditions ambazo mchina azitaki anataka special concession kwenye logistic and industrial park na ziwe sehemu ya mkataba na bandari apewe muda zaidi; hizi ndio sababu zilizomfanya aingie mitini.
Kidali, kinabaki what is the government willing to compromise ili kumrudisha mchina mezani.
Mbele giza, msoga yeye piga ua bandari ijengwe; kuna watu wanatakiwa wamwambie JK ukweli stay out of Tanzania politics baki mshauri tu humo CCM vinginevyo analazimisha vitu vyenye madhara ya muda mrefu sana he is very short sighted.
Maanake tunaishi kwa hisani za watawala?Tatizo la Watanzania ujuaji wa kila kitu hata kwa kile hatuna ufahamu nacho umetujaa. Siku shangaa awamu ya tano kuingia mikataba kimyakimya iliogopa ujuaji wa namna hii . Tuache Tanzania ya kisasa ijengwe walau tutaweza kupata japo hata kakibarua ili familia iweze kuishi
Mkuu Kama hauna benefts za moja kwa moja na huu mladi,(binafsi) huu mladi hauna faida kabisa, kabisa..ila kwa masilahi binafsi, unafaida, not kwa taifa..Tangu lini mradi wenye uhakika wa maendeleo ikawa ni kosa.
Hapo wala huhitaji feasibility study.
Dikteta alikuwa mpigaji mzuri snNyinyi mngeachiwa hii nchi mngeizamisha, muda wote JK amekukaa Kooni.... Huyo mzee wako Mwendazake na miradi yake yakibabe ambayo haikuwa na baraka za kitaifa hakuna hata Mmoja ulioanza kazi mmebaki kulialia tu humu.. Huo mradi utatekelexeka na utaenda kujadiliwa bungeni kila mwananchi hafahamu kinagaubaga kilichomo ndio mtafunga midomo yenu... Mtu kajenga uwanja umelala tu chato huko hamna hata ndege zinaotua na ameipa kampuni ya kwake.....%##$%#*
MuraMkuu Kama hauna benefts za moja kwa moja na huu mladi,(binafsi) huu mladi hauna faida kabisa, kabisa..ila kwa masilahi binafsi, unafaida, not kwa taifa..
Itiki mura....Mura
Hahahahaha hatari snItiki mura....
Wanajifanya hawaoni mtu mpaka anatumia kampuni yake kujenga, yaani mzee kafanya faulo kibao katika ukandarasi na upendeleo mwingine wa wazi halafu wanajitoa akili kanakwamba alikuwa mwema sana wakati alikuwa mpigaji aliotukuka mwenye ulaghai wa maneno.Dikteta alikuwa mpigaji mzuri sn
Aliona watanzania ni wajinga snWanajifanya hawaoni mtu mpaka anatumia kampuni yake kujenga, yaani mzee kafanya faulo kibao katika ukandarasi na upendeleo mwingine wa wazi halafu wanajitoa akili kamakwamba alikuwa mwema sana wakati alikuwa mpigaji aliotukuka mwenye ulaghai wa maneno.
Mkataba wa ujenzi wa kiwanja cha ndege kimataifa Chato uliupitia lini?Usiwaamini hawa watu.
Sawa amezipitia, swali ni je, ana utaalamu wa mikataba na maswali mengine ya kitaalamu?
Kama ambavyo Mbowe sio gaidi, na sisi wananchi sio wajinga.
Why Bagamoyo?Open up your mind and think big!!
All areas to Bagamoyo will expand in business exponentially.
Just compare, utanunua kiwanja Chato kwa vile uwanja mkubwa umejengwa huko?
Ni uwanja wa Watanzania au unamilikiwa kwanza na China kwa miaka 99? na Je huo uwanja umezuia JNIA kuendelea kufanya kazi?Mkataba wa ujenzi wa kiwanja cha ndege kimataifa Chato uliupitia lini?
Tatizo lenu mnatabia ya kutofuatilia how things evolve au hata kusikiliza yote yaliyoongelewa.Nyinyi mngeachiwa hii nchi mngeizamisha, muda wote JK amekukaa Kooni.... Huyo mzee wako Mwendazake na miradi yake yakibabe ambayo haikuwa na baraka za kitaifa hakuna hata Mmoja ulioanza kazi mmebaki kulialia tu humu.. Huo mradi utatekelexeka na utaenda kujadiliwa bungeni kila mwananchi hafahamu kinagaubaga kilichomo ndio mtafunga midomo yenu... Mtu kajenga uwanja umelala tu chato huko hamna hata ndege zinaotua na ameipa kampuni ya kwake.....%##$%#*
Mtu unafikiria mambo ya mchicha wa shambani badala ya kufikiria mambo ya biashara!Ni uwanja wa Watanzania au unamilikiwa kwanza na China kwa miaka 99? na Je huo uwanja umezuia JNIA kuendelea kufanya kazi?
Kavae kiatu cha mtoto wako wa miaka 10, utaelewa tu!Why Bagamoyo?
Bandari ya Dar Es Salaam haifanyi kazi?
Bila mchicha huwezi kuishiMtu unafikiria mambo ya mchicha wa shambani badala ya kufikiria mambo ya biashara!