Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

Kwanini wasinunue ma V8 used?
 
Sheria ya upigaji, ni jinsi Gani uta thaminisha kilicho tumika na kitu kingine maana kutumika kuna weza kuwa miaka mitatu lakini kilometa zikatofautiana. N.k na kina Maisha miaka mingapi baada ya hapo
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
We si unajua hao wabunge 95%hawakushinda kihalali bali walishindishwa na shujaa
Kama hawakushinda kihalali,mbona sijasikia hata kesi moja ya kupinga angalau jimbo moja tu. Mnapiga domo tupu tu kwa kitu hamna ushahidi nacho. Chaguzi zilizopita mlikuwa mkienda mahakamani na majimbo mengine yalikuwa yakitenguliwa au mkipewa ushindi. Au wale mawakili wenu wasomi hawapo tena? Au pesa za kulipia kesi mmezitafuna?
 
Uko sahihi
 
Mambo mengine ni magumu mno lakini ndio hivyo Ulimwengu Huu unaelekea Mwisho unakuja Ulimwengu wa 6G yaani 666

Waganda hawa tuliowakomboa mikononi mwa Nduli ndio wa kutuzidi sisi Kweli?

Jumaa Mubarak πŸ˜€

Sisi unataka tupige marufuku mitumba, je tuna viwanda vingapi vya ndani vyenye kutengeneza nguo?
 
Mambo mengine ni magumu mno lakini ndio hivyo Ulimwengu Huu unaelekea Mwisho unakuja Ulimwengu wa 6G yaani 666

Waganda hawa tuliowakomboa mikononi mwa Nduli ndio wa kutuzidi sisi Kweli?

Jumaa Mubarak πŸ˜€
Una uhakika kuwa Idd amani hakutakiwa na Waganda au hakutakiwa na Nyerere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…