Wanatuzidi pia kwa 'kuwachuma Mashoga' na kupigwa ban ya kuletewa ARV kutoka MarekaniMambo mengine ni magumu mno lakini ndio hivyo Ulimwengu Huu unaelekea Mwisho unakuja Ulimwengu wa 6G yaani 666
Waganda hawa tuliowakomboa mikononi mwa Nduli ndio wa kutuzidi sisi Kweli?
Jumaa Mubarak 😀
Idd amin porojo nyingi tu katengenezewaUna uhakika kuwa Idd amani hakutakiwa na Waganda au hakutakiwa na Nyerere?
Kwa kifupi Tanzania haikuikomboa Uganda ni porojoIdd amin porojo nyingi tu katengenezewa
Ova
Hakutakiwa na 'Obote' ambae alikua rafiki wa 'Nyerere' ndio 'Nyerere' akaenda kumfurusha ili rafiki yake 'Obote' aendelee kuitawala Uganda hadi pale Mu7 alipochukua madarakaUna uhakika kuwa Idd amani hakutakiwa na Waganda au hakutakiwa na Nyerere?
Unamfahamu Fumbuka Majaliwa?Uganda hata swala la ushoga Katia neno kuwa hataki mambo ya ajabu huku hata sielewi elewi...😂
Nduguyake na 'Ka-telephone Majaliwa'?Unamfahamu Fumbuka Majaliwa?
SimjuiUnamfahamu Fumbuka Majaliwa?
Wajuaji wa mujini wamwnieleqa mkuu🤣Nduguyake na 'Ka-telephone Majaliwa'?
Ulizia ukimjua Fumbuka Majaliqa, utanielewa kwanini ni ngumu kupiga vita ufirrhaji TzSimjui
Hata wewe unaweza kunijuza mkuuUlizia ukimjua Fumbuka Majaliqa, utanielewa kwanini ni ngumu kupiga vita ufirrhaji Tz
Mambo mengine ni magumu mno lakini ndio hivyo Ulimwengu Huu unaelekea Mwisho unakuja Ulimwengu wa 6G yaani 666
Waganda hawa tuliowakomboa mikononi mwa Nduli ndio wa kutuzidi sisi Kweli?
Jumaa Mubarak [emoji3]
Kazi nimemaliza, wewe tafuna umezeHata wewe unaweza kunijuza mkuu
Muulize muanzisha uzi, mbona hakuilaumu serikali ya Tanzania kutofuata msimamo mkali wa Uganda kuhusu ushoga? Yeye kaona tumitumba tu.Uganda hata swala la ushoga Katia neno kuwa hataki mambo ya ajabu huku hata sielewi elewi...😂
Fikiri mara mbili ulicho kiandika mkuu. Labda ulikuwa hajazaliwa ( 1971-1979) au ulikuwa mdogo au umeamua tu kumpenda Idd Amin. Hakuna nchi inayoweza kukaa kimya iwapo meter moja ya ardhi yake ita chukuliwa kinguvu, kama alivyo fanya Amin kufanya mto Kagera Ndiyo mpaka mpya wa Uganda na Tanzania. Achilia mbali mamia kama si maelfu ya Watanzania walio uwawa katika zoezi lake hilo.Waganda hatukuwakomboa tuliwaondolea kiongozi mchapa kazi aina za kina Magufuli ,huo ndio ukweli,japo mchunga.