Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Binafsi yangu mama simlaumu. Nailaumu sisitimu ya CCM .Kungekuwa na mchanganyiko WA vyama vya upinzani upuuzi huo usingepitishwa bungeni. Ola ninalokifurahia ni moja Tu..wabunge jujusahau kuwa na mama zao na Bibi zao wanasukubika Kwa tuzo hiyo. Wabunge white Nyamafu Sana.
uko sahihi
 
Kweli haya ni mateso!
Baba Mungu uliyetuumba Watanzania, ikumbuke nchi yetu Tanzania, Wakumbuke Watanzania, Vikumbuke vizazi vyetu kama ulivyowakumbuka watoto wako wana wa Israel wakiwa utumwani Misri. Baba usiyakumbuke maovu ya ujana wetu wala maasi yetu yote. Tumekukimbilia wewe Bwana tusigharikishwe na mkono wa adui. Tutendee kwa ukarimu sawa na wingi wa Rehema zako.i Katika Jina Takatifu ya Yesu Kristo aliyehai milele tunakuomba. Amen.
Amina. Ubarikiwe ndugu.
 
Tutaimba zaburi zote Haya ni matokeo ua udikiteta wa magufuli.
 
Kama nchi tulipita kipindi kigumu sana. Biashara zilifungwa, watu walifilisiwa, kodi nyingi za haramu zilibambikwa kwa wafanyabiashara. Aliyejaribu kufungua mdomo wake kulalamikia hayo labda asijulikane. Vinginevyo angetekwa kisha ama akapotea kabisa au akabambikiwa kesi itakayomuweka mahabusu muda mrefu au angehujumiwa kwa namna yoyote

Inashangaza kuona Wabongo ni wasahaulifu kiasi hiki. Angalau sasa kuna japo kauhuru ka kulalamikia hayo hadharani na usiwe na hofu ya kupotezwa. Au labda wanaotoa maneno makli dhidi ya awamu ya sita ni wale wachache sanasana waliokua wafaidika wa utawala ule!

Kodi hizi za miamala ni mbaya lakini haiondoi ukweli kwamba awamu iliyopita ilikua ya kidhalimu sana. Lakini kutamani eti ile hali ya mambo ya awamu ya tano irudie tena kwa Watanzania ni roho mbaya na utovu wa shukrani kwa Mungu wetu. Angalau Mama na serikali yake hamkamati mtu kwa kupinga sheria mbaya.

Mimi naamini ni suala la muda tu kodi kandamizi zitafutwa kutokanana na usikivu wa awamu ya sita. Lakini kutamani kurudi tulipotoka HAPANA
umeusema ukweli wote.
 
Kuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.

Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.

Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.

Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.

Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Mwigulu Nchemba akichukua wazo la Zungu ndie aliye msahauri vibaya Rais Samia Mwigulu hawezi kuacha idol wake apate mshindani wa sifa
Mama fukuza huyu mswaga ngombe wa zamani
 
Kuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.

Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.

Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.

Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.

Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Mama kasomea Utawala. siyo Mchumi ingawa inaweza kuwa amesomea baadhi kozi za Uchumi. Hata hivyo hili suala halina uhusiano na uchumi wa kusomea.
 
Alie kuzaa analo
Sasa Hilo pua na sura Kama tako la Nyani ndio unajiona mzuri
IMG_20210716_133111.jpeg
 
Trust !!yours are from broken who produced such kind of primitive broken ass ever.
You're too nonsensical even to know how you spell is illogical.

Go get English teacher to to learn how to write properly.
 
Aisee

Aisee una hasira sana bro! Utakufa bure mdogo wangu; just relux kidogo..saivi dakika ya saba unataka umtoe Chama umueweke nani tena? Mbona anaupiga mwingi!!! Ahahah
Majeruhi ferdinand anatoka anaingia Sylvester chaupara France man
 
You're too nonsensical even to know how you spell is illogical.

Go get English teacher to to learn how to write properly.
dat's untouchable macrituration level. to de high standard. Trust
 
Back
Top Bottom